Mwanajumuia
Member
- Aug 22, 2017
- 9
- 1
Tafsiri yake haswa ni "Chama Cha Mapinduzi", lakini haidhuru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamesha kwisha na kesho wanajitokeza kwa wing kupiga kuraAmetoa wito kwa wafuasi wake wajiandae kwa mapambano yatakayopelekea kufanyika uchaguzi ndani ya siku 90 zijazo. Baadhi ya kauli zake mpya
- Wasusie bidhaa na huduma kutoka kwa makampuni yenye ushirikiano na serikali
- Wasitambue uongozi utakaopitishwa siku ya kesho tarehe 26, hiyo ni ikiwemo na wakuu wa wilaya
- Waspigane na wafuasi wa upande wa serikali, wao wakomae tu dhidi ya rais Uhuru
- Wakae manyumbani na kufanya shughuli zao
Kwa kifupi, hii show bado ipo ila naomba isiishie kwenye vurugu.
Raila Odinga reveals next steps
Haha kumbe wengi wanaomchukia Raila ni Bavicha...Huyu odinga anatukera sana sisi chadema kwa haya mambo yake...hayo maandamano yangezuiliwa tu na mtu akiandamana apigwe tu