Raila abadilisha chama chake na kukifanya kuwa vuguvugu la mapambano

Raila abadilisha chama chake na kukifanya kuwa vuguvugu la mapambano

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ametoa wito kwa wafuasi wake wajiandae kwa mapambano yatakayopelekea kufanyika uchaguzi ndani ya siku 90 zijazo. Baadhi ya kauli zake mpya
- Wasusie bidhaa na huduma kutoka kwa makampuni yenye ushirikiano na serikali
- Wasitambue uongozi utakaopitishwa siku ya kesho tarehe 26, hiyo ni ikiwemo na wakuu wa wilaya
- Waspigane na wafuasi wa upande wa serikali, wao wakomae tu dhidi ya rais Uhuru
- Wakae manyumbani na kufanya shughuli zao

Kwa kifupi, hii show bado ipo ila naomba isiishie kwenye vurugu.

Raila Odinga reveals next steps
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Odinga yupo sehemu sahihi kwa wakati sahihi.!

Angekuwa bongoo.. angeshapokwa ranch zote mpaka na mahausgirl hadi na Choo chake na angekuwa msomali kwa kabila
 
Ametoa wito kwa wafuasi wake wajiandae kwa mapambano yatakayopelekea kufanyika uchaguzi ndani ya siku 90 zijazo. Baadhi ya kauli zake mpya
- Wasusie bidhaa na huduma kutoka kwa makampuni yenye ushirikiano na serikali
- Wasitambue uongozi utakaopitishwa siku ya kesho tarehe 26, hiyo ni ikiwemo na wakuu wa wilaya
- Waspigane na wafuasi wa upande wa serikali, wao wakomae tu dhidi ya rais Uhuru
- Wakae manyumbani na kufanya shughuli zao

Kwa kifupi, hii show bado ipo ila naomba isiishie kwenye vurugu.

Raila Odinga reveals next steps

Raila hajui anataka nini
 
Raila Odinga is the next General Joseph Konyi, Jean Bosco Ntaganda and General Laurent Nkunda. Ataishia kusakwa na ICC. Mark my words.
From Prime minister to Joseph Kony! This is how leaders with no clear agenda but me, myself and I, fall. Very hard!
 
Hahahahaaaaaa,,,,,,,Raila ni Jonas Savimbi wa Kenya,,2017????

Uhuru Kenyatta ame mcheck mate.

Kesho twaenda kupiga kura bila yeye.

Alhamdulillahi.

Na,,,,Canaan,,nayo????

Mbio za sakafuni,,zimeishia ukingoni.
 
Uhuru njia nyeupeeeeeee ndio Rais tayari, uchaguzi ni kumalizia tu, yaani Raila amejitoa, amezira, atajutia.
Goooooo Uhuru, gooooooooo...!!
 
Hahahahaaaaaa,,,,,,,Raila ni Jonas Savimbi wa Kenya,,2017????

Uhuru Kenyatta ame mcheck mate.

Kesho twaenda kupiga kura bila yeye.

Alhamdulillahi.

Na,,,,Canaan,,nayo????

Mbio za sakafuni,,zimeishia ukingoni.
Mbona Canaan tunatua kila siku?......tukishachapa tot zetu kadhaa za chang'aa pale kwa Mama Pima. Ha haa haaa!
 
Duh! Wee jamaa huko kwenu hamruhusiwi kuongea hivi, wasiojulikana watakuibukia.
Hafadhali huku, ila huko kwenu wanadunguliwa kama ndege mtini, yule Padre Mjaluo alipojaribu tu, wamemuua kinyama kabisa, na huyo msaidizi wa CJ Maraga, ana bahati, hiyo nchi yenu haifai kwa maisha ya binadamu aliye huru, huwezi kumkosoa mtu na ukabaki salama, Jacob Juma alivyomaliza ku tweet tu, kesho yake ni kwaheri
 
Huyu odinga anatukera sana sisi chadema kwa haya mambo yake...hayo maandamano yangezuiliwa tu na mtu akiandamana apigwe tu
 
Back
Top Bottom