Ametoa wito kwa wafuasi wake wajiandae kwa mapambano yatakayopelekea kufanyika uchaguzi ndani ya siku 90 zijazo. Baadhi ya kauli zake mpya
- Wasusie bidhaa na huduma kutoka kwa makampuni yenye ushirikiano na serikali
- Wasitambue uongozi utakaopitishwa siku ya kesho tarehe 26, hiyo ni ikiwemo na wakuu wa wilaya
- Waspigane na wafuasi wa upande wa serikali, wao wakomae tu dhidi ya rais Uhuru
- Wakae manyumbani na kufanya shughuli zao
Kwa kifupi, hii show bado ipo ila naomba isiishie kwenye vurugu.
Raila Odinga reveals next steps