Raila aki amua ame amua idiots zitazua but zitatii in the end

Sammuel999

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
3,481
Reaction score
2,347
Ametii
b1c4e33a7a79b57c35edb7c10b3b12bf.jpg
 
Wameona There will be no elections next week ...mtatii hatutaki hyo kura idiots ....
 
Kwani we idiot ndo unagawa hiyo kiti ya urais? Ngoja kwanza hiyo kura ipigwe na Raila akuje ingia kwa race
Kama huelewi siasa za Kenya usijiabishe bure, pambana na hizo siasa za peni mbili za tz, sawa Zipporah?
 
Wakuu:
Hivi kumetokea nini mpaka DP Ruto akubali dakika za mwisho kirahisi namna hiyo?.
 
Political strategy my friend usiyejua siasa za Kenya. Hakuna muda wa mabadiliko ambayo NASA wa nataka yatekelezwe(irreducible minimums) uchaguzi ukiwa tarehe 26 wiki ijayo.
 
Hii ni kweli ama fake? DP Ruto yamempata yapi?

Tatizo ni kwamba Ruto au Uhuru hakuna mwenye uwezo wa kubadili chochote kwenye tume ya IEBC, ile ni tume huru iliyobuniwa kikatiba, hivyo hata leo rais Uhuru hawezi kumfuta yeyote pale. Kwa Ruto kukubali au kukatalia haina impact yoyote, labda washnikize kimya kimya kwa kutumia mlango wa nyuma lakini sio kisheria.
 
Uongo huo wk ijayo watapiga kura Central (kikuyuz) na Rift Valley (kalenjinz)... huko western na ukambani watasubiri sana
 
Political strategy my friend usiyejua siasa za Kenya. Hakuna muda wa mabadiliko ambayo NASA wa nataka yatekelezwe(irreducible minimums) uchaguzi ukiwa tarehe 26 wiki ijayo.

Comrade:
Yes it's a political strategy but will it work at this dead hour, while RAO has already withdrawn?
Hizo ni dalili za kuhangaika ili kuokoa jahazi lisizame.
 
Raila has only withdrawn through the word of mouth without due process as required by law.
 
One way or another siku ya kupiga kura itafika tu, hata iwe mwaka ujao. Kinachonifurahisha ni kuwa Raila Odinga hatakuja kalia kiti cha urais Kenya. Bwana asifiwe sana. Amen!
Yes ....na Kenya sio nchi yangu!!!!!!!!

Raila ndio kiongozi wangu awe asiwe Rais
 
uchaguzi uko palepale, uhuruto tano tena
Wapi???

Haujaskia mkuu wa IEBC akisema haoni kukiwa na huru na haki kwa uchaguzi???

Hata wakichaguliwa Korti nchini itawatoa bado tu mpaka uwe wa haki na huru!!!

Hata waende mara ngapi!!!!!

Na ikiendelea hvi kenya itajigawa tu!!!!!!!.....tutakuwa nchi mbili before 2022 if there is no free and Fair election that is a given!!!!

Tayari IEBC imesha pea korti kuu nchini kenya fursa ya kubandua uchaguzi ujao!!!!!!!

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
korti imtoe rais?! endeleeni kudanganyana na huyo raila wako, hata hiyo mara ya kwanza korti walitengua matokeo ya augost 8 tu lakini ikulu bado wako uhuruto, na hata wakitengua tena watakavyo lakin Uhuruto bado wako kwa kiti huku raila akiendelea kusugua benchi mtaani. UHURUTO TANO TENA.
 
Kama huelewi siasa za Kenya usijiabishe bure, pambana na hizo siasa za peni mbili za tz, sawa Zipporah?

Naijua siasa ya Kenya kuliko we unaejiona mtaalam. Zipporah aweza kuwa mkeo lakini tutaona siku iyo. Siku haigandi bali yayoyoma tuu 26th is Just, near the corner
 
korti imtoe rais?! endeleeni kudanganyana na huyo raila wako, hata hiyo mara ya kwanza korti walitengua matokeo ya augost 8 tu lakini ikulu bado wako uhuruto, na hata wakitengua tena watakavyo lakin Uhuruto bado wako kwa kiti huku raila akiendelea kusugua benchi mtaani. UHURUTO TANO TENA.
Sawa

Back
Top Bottom