mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,136
- 4,271
Na pia hukuskia akisema uchaguzi utakuwepo 26th ama uliziba maskioWapi???
Haujaskia mkuu wa IEBC akisema haoni kukiwa na huru na haki kwa uchaguzi???
Hata wakichaguliwa Korti nchini itawatoa bado tu mpaka uwe wa haki na huru!!!
Hata waende mara ngapi!!!!!
Na ikiendelea hvi kenya itajigawa tu!!!!!!!.....tutakuwa nchi mbili before 2022 if there is no free and Fair election that is a given!!!!
Tayari IEBC imesha pea korti kuu nchini kenya fursa ya kubandua uchaguzi ujao!!!!!!!
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app