Raila akutana na Mzee Moi

Raila akutana na Mzee Moi

Urais wake kando. Hata sisi ambao hatumuungi mkono Raila tunamuheshimu pia. Akiwa pekee yake, bila wale wauza sura wanaopenda kuandamana naye. Huyu mzee kwa miaka kibao sasa amekuwa akihakikisha kwamba mafisi hawatunyanyasi kwenye nchi yetu. Agwambo biroo!
Kwahiyo ww ni mkikuyu sio
 
Mwanasiasa huwa hana rafiki au adui wa kudumu, ila ana maslahi ya kudumu...

Usipokua makini mwanasiasa anaweza akakuzungusha akili hadi upate presha bure, anakuambia umchukie huyu, kesho anakuomba ubadilishe hisia na kumpenda huyo huyo, keshokutwa anakurudisha kule kule kwamba utokwe mipovu. Nilikua naangalia video za akina Mbowe wakati wanamtukana Lowassa akiwa CCM, halafu walipomsifia baada ya kuhamia Chadema ambapo na CCM wakaanza kumtukana mzee, sasa juzi Lowassa amekwenda ikulu na kukutana na Magufuli, CCM wakasitisha matusi dhidi yake na Chadema wakalianzisha.
 
Hahahahahaa... wanasiasa duniani wote ni kama wamezaliwa na mama mmoja...
 
Back
Top Bottom