Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Kwahiyo ww ni mkikuyu sioUrais wake kando. Hata sisi ambao hatumuungi mkono Raila tunamuheshimu pia. Akiwa pekee yake, bila wale wauza sura wanaopenda kuandamana naye. Huyu mzee kwa miaka kibao sasa amekuwa akihakikisha kwamba mafisi hawatunyanyasi kwenye nchi yetu. Agwambo biroo!