Raila akutana na Mzee Moi

Kwahiyo ww ni mkikuyu sio
 
Mwanasiasa huwa hana rafiki au adui wa kudumu, ila ana maslahi ya kudumu...

Usipokua makini mwanasiasa anaweza akakuzungusha akili hadi upate presha bure, anakuambia umchukie huyu, kesho anakuomba ubadilishe hisia na kumpenda huyo huyo, keshokutwa anakurudisha kule kule kwamba utokwe mipovu. Nilikua naangalia video za akina Mbowe wakati wanamtukana Lowassa akiwa CCM, halafu walipomsifia baada ya kuhamia Chadema ambapo na CCM wakaanza kumtukana mzee, sasa juzi Lowassa amekwenda ikulu na kukutana na Magufuli, CCM wakasitisha matusi dhidi yake na Chadema wakalianzisha.
 
Hahahahahaa... wanasiasa duniani wote ni kama wamezaliwa na mama mmoja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…