Raila akutana na Mzee Moi

Raila akutana na Mzee Moi

logania

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
464
Reaction score
313
Kweli duniani hakuna uadui kwenya siasa...

Or maybe it’s just mature politics...

Or maybe it is a case of ....if you can’t beat them join them?No permanent enmity in politico? Or just plain pragmatism...
 
Regardless of who you support or who won the elections in Kenya, Raila is no doubt the main man who steers the direction of politics in Kenya. He is just like the pied piper that all political rats must follow to survive, each time he makes a move.
 
Subirini ugali usongwe ukiisha iva, mtapakuliwa na kula. Hatufiki 2022
 
Regardless of who you support or who won the elections in Kenya, Raila is no doubt the main man who steers the direction of politics in Kenya. He is just like the pied piper that all political rats must follow to survive, each time he makes a move.
I am beginning to believe so...The guy has a following but I don’t think he will ever get to the House on the Hill...Seems like he is making a graceful exit plan...
 
His sudden turn leading to the handshake with President Uhuru was way out of character for him. Something new is in the offing. I mean for the 2022 succession politics.
 
Huu ni usaliti kwa wapiga kuta na wanachama wa nasa hasa miguna miguna
 
Usimtaje Miguna Miguna, jamaa alijiunga na NASA baada ya uchaguzi. 😀 Kabla ya uchaguzi alikuwa anaimba chorus ya rais Uhuru Kenyatta.
 
Upinzani unajitafuna ndani kwa ndani huku Jubilee ikiendelea na Hapa Kazi tu kwa wanaanchi wake.
 
Sikujua kama Raila angeweza kulainika na kuwa mdebwedo kiasi hicho
 
Operation fix Ruto! RAO knows Ruto and Moi don't see eye to eye n is ready to support Gideon if that means Ruto doesn't become a President. And the moment Kikuyus see Ruto's backyard is in disarray, they will shift their loyalty. I see Kalonzo's curse befalling Ruto!
 
Kumbe!!!
 
Naona humuelewi Ruto vizuri. Wewe unadhani kwamba ni mnyonge fulani? Yeye naye tayari ameshakaa kwenye vikao na waliosalitiwa na Raila. Kalonzo, Mudavadi na Wetangula, waliokuwa vigogo wakuu kwenye chama cha NASA. Sasa hivi Raila amejiongezea maadui wengi, ambao wametoka kwenye ngome zake kuu. Huu ni kama ule mchezo wa Chess. Ukiona mpinzani wako ametulia tuli na hana mbwembwe zozote zile, kawaida hapo huwa unajua kibaya chaja. William Ruto tayari ana 'home advantage' kwenye mchuano huu.
 
wenzie wapi hao? Mudavadi, Wetangula na Kalonzo waliokimbia kuapishwa?
 
Ukienda Kenya Kuanzia Kisii Mpaka Kule Awasi kama unaelekea Nairobi watu wanamkubali sana Raila Odinga kiasi kwamba atakacho sema wao wanafuata bila kujali ni baya ama zuri. Jamaa anaitwa Baba, Raisi wa watu.
 
Wewe unasikia Raila aliwaambia wenzake wazime simu zao atawapigia na namba ya DRC ili wakae kwenye kikao kwanza? 😀 Kisha akawakwepa akaenda akajiapisha akiwa pekee yake. Fatilia haya maneno bana. Baadaye tena akaenda kumpa rais U.Kenyatta pambaja bila ya kuwafahamisha wenzake. Karata za Raila za kisiasa zina hadi ndevu jombaa.
 
Ukienda Kenya Kuanzia Kisii Mpaka Kule Awasi kama unaelekea Nairobi watu wanamkubali sana Raila Odinga kiasi kwamba atakacho sema wao wanafuata bila kujali ni baya ama zuri. Jamaa anaitwa Baba, Raisi wa watu.
Urais wake kando. Hata sisi ambao hatumuungi mkono Raila tunamuheshimu pia. Akiwa pekee yake, bila wale wauza sura wanaopenda kuandamana naye. Huyu mzee kwa miaka kibao sasa amekuwa akihakikisha kwamba mafisi hawatunyanyasi kwenye nchi yetu. Agwambo biroo!
 
Back
Top Bottom