Kwa sababu siasa za Kenya zimetawaliwa na ukabila, kitendo cha Raila kukubali kumendorse kiongozi wa kabila tofauti kilipaswa kupongezwa na kuwa rewarded. Kufanya hivi kungetengeneza hamu ya kwa wanasiasa kuutaka ushujaa huu wa kuvuka mipaka ya ukabila. Hapo ingekuwa mwanzo wa kuumaliza ukabila Kenya.
Kwa vile viongozi wa sasa wanaingia madarakani purely kwa ukabila, hawawezu kuhalamisha kilichowahalalisha na ukabila utaendelea kuogelea kwenda mbele.