Raila anaenda kuangukia pua na wote tutafurahi

Raila anaenda kuangukia pua na wote tutafurahi

Oya gentleman tupe update
Round ya kwanza hakuna mshindi
raila 20
mahamoud ali 18
richard 10

RAUNDI YA PILI HAKUNA MSHINDI
Raila 22
mahamoud 19
richard 9,

RAUNDI YA TATU HAKUNA MSHINDI
Raila 20
mahamoud 23,
richard 5

RAUNDI YA 4 HAKUNA MSHINDI,
Raila 21
Mahamoud 25,
Richard amejiondoa baada ya round ya3

RAUNDI YA TANO HAKUNA MSHINDI,
raila 21
mahamoud 26 kuna nchi zimejiepusha kupiga kura

RAUNDI YA SITA HAKUNA MSHINDI,
Raila 22
Mahamuod 26

RAILA AMOLO ODINGA AMEJIONDO RASMSI KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA UENYEKITI WA AUC BAADA YA ROUND YA SITA.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Africa.

mshindi inatakiwa apate walau kura33 kati ya 49 za wajumbe :NoGodNo:
 
Round ya kwanza hakuna mshindi
raila 20
mohamed ali 18
richard 10

RAUNDI YA PILI HAKUNA MSHINDI
Raila 22
mohamed 19
richard 9,

RAUNDI YA TATU HAKUNA MSHINDI
Raila 20
mohamed 23,
richard 5

RAUNDI YA 4 HAKUNA MSHINDI,
Raila 21
Mahamud 25,
Richard amejiondoa baada ya round ya3

RAUNDI YA TANO HAKUNA MSHINDI,
raila 21
mahamud 26 kuna nchi zimejiepusha kupiga kura

uchaguzi bado unaendelea.

mshindi inatakiwa apate walau kura33 kati ya 49 za wajumbe :NoGodNo:
Ubalikiwe gentleman
 
RAILA AMOLO ODINGA AMEJIONDO RASMSI KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA UENYEKITI WA AUC BAADA YA ROUND YA SITA.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Africa.

mshindi inatakiwa apate walau kura33 kati ya 49 za wajumbe :NoGodNo:
Kwahio sio kwamba ameshindwa (eliminated) bali amejiondoa ?
 
Kwahio sio kwamba ameshindwa (eliminated) bali amejiondoa ?
unaweza kusema vyovyote gentleman,
but Mzee amejiondoa kwa heshima na ndio maana hujaona matokeo ya raund ya saba,

angeweza kung'ang'ana mpaka mwisho kitu ambacho kingepelekea uchaguzi kuahirishwa hadi July :NoGodNo:
 
Sijasema nimeuliza.., sababu kuna vyanzo vimesema eliminated... (kitu ambacho kinaondoa sifa ya kwamba amekubali yaishe) And for that marks another chapter in his story ni mtu wa compromise...
 
Sijasema nimeuliza.., sababu kuna vyanzo vimesema eliminated... (kitu ambacho kinaondoa sifa ya kwamba amekubali yaishe) And for that marks another chapter in his story ni mtu wa compromise...
ndivyo inavyokuaga hususan kutoka kwenye vyombo mbalimbali vya habari duniani, dhidi ya habari za mgombea uongozi wasio muunga mkono au wanae muunga mkono kwenye uchaguzi husika :NoGodNo:
 
Huyu mzee Raila Odinga anafahamika sana kwa fitina na kuharibia wenzake.

Yani ana roho ya uharibifu sana, uchonganishi na majungu.

Ni yeye kamuharibia Rigathi Gachagua. Machozi ya Gachagua aliyotoa ni laana itakayowaandama Raila na Ruto.

Raila ni ndimilakuwili kigeugeu ni kama popo.

Haaminiki kabisa. Kutoka na haya yote mabaya aliyowafanyia wengine yatamrudia.

Mungu yupo amini msiamini Raila anapigwa chini Urais wa AU na kuangukia pua na wote East Africa tutafurahi na kusheherekea.

View attachment 3237069

Tlaatlaah

Nyau de adriz
 
Attachments

  • VID-20250216-WA0015.mp4
    2 MB
Back
Top Bottom