Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
raundi ya kwanza Raila kashinda kwa kura 20, anaemfuata kapata 18 na watatu kapata kura 10Wewe ni mchawi tu.
Rigathi GACHAGUA FOREVER

raundi ya pili inapigwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
raundi ya kwanza Raila kashinda kwa kura 20, anaemfuata kapata 18 na watatu kapata kura 10Wewe ni mchawi tu.
Rigathi GACHAGUA FOREVER

namfuatilia raila kwasasa gentlemanunamuita kibaka wakati ni kiongozi shupavu Tanzania inajivunia kuwa naye

Oya gentleman tupe updatenamfuatilia raila kwasasa gentleman![]()
🤣🤣Daah,hapa umenimaliza mazima 😔Na wewe my sweet beautiful baby?
Round ya kwanza hakuna mshindiOya gentleman tupe update

HahahaOya unazingua wewe mhiti ndo manaa mimi nakuombea ufukuzwe monaco
Endelea kutupa updates mkuuRound ya kwanza,
raila 20
mohamed ali 18
richard 10
RAUNDI YA PILI
Raila 22
mohamed 19
richard 9,
RAUNDI YA TATU
Raila 20
mohamed 23,
richard 5
uchaguzi bado unaendelea.
mshindi inatakiwa apate walau kura33 kati ya 49 za wajumbe![]()
nipo mojakwamoja kutoka ikungi hadi ethopiaEndelea kutupa updates mkuu

Ubalikiwe gentlemanRound ya kwanza hakuna mshindi
raila 20
mohamed ali 18
richard 10
RAUNDI YA PILI HAKUNA MSHINDI
Raila 22
mohamed 19
richard 9,
RAUNDI YA TATU HAKUNA MSHINDI
Raila 20
mohamed 23,
richard 5
RAUNDI YA 4 HAKUNA MSHINDI,
Raila 21
Mahamud 25,
Richard amejiondoa baada ya round ya3
RAUNDI YA TANO HAKUNA MSHINDI,
raila 21
mahamud 26 kuna nchi zimejiepusha kupiga kura
uchaguzi bado unaendelea.
mshindi inatakiwa apate walau kura33 kati ya 49 za wajumbe![]()
Kwahio sio kwamba ameshindwa (eliminated) bali amejiondoa ?RAILA AMOLO ODINGA AMEJIONDO RASMSI KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA UENYEKITI WA AUC BAADA YA ROUND YA SITA.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Africa.
mshindi inatakiwa apate walau kura33 kati ya 49 za wajumbe![]()
unaweza kusema vyovyote gentleman,Kwahio sio kwamba ameshindwa (eliminated) bali amejiondoa ?

Sijasema nimeuliza.., sababu kuna vyanzo vimesema eliminated... (kitu ambacho kinaondoa sifa ya kwamba amekubali yaishe) And for that marks another chapter in his story ni mtu wa compromise...unaweza kusema vyovyote gentleman,
but Mzee amejiondoa kwa heshima na ndio maana hujaona matokeo ya raund ya saba,
angeweza kung'ang'ana mpaka mwisho kitu ambacho kingepelekea uchaguzi kuahirishwa hadi July![]()
ndivyo inavyokuaga hususan kutoka kwenye vyombo mbalimbali vya habari duniani, dhidi ya habari za mgombea uongozi wasio muunga mkono au wanae muunga mkono kwenye uchaguzi husikaSijasema nimeuliza.., sababu kuna vyanzo vimesema eliminated... (kitu ambacho kinaondoa sifa ya kwamba amekubali yaishe) And for that marks another chapter in his story ni mtu wa compromise...

Huyu mzee Raila Odinga anafahamika sana kwa fitina na kuharibia wenzake.
Yani ana roho ya uharibifu sana, uchonganishi na majungu.
Ni yeye kamuharibia Rigathi Gachagua. Machozi ya Gachagua aliyotoa ni laana itakayowaandama Raila na Ruto.
Raila ni ndimilakuwili kigeugeu ni kama popo.
Haaminiki kabisa. Kutoka na haya yote mabaya aliyowafanyia wengine yatamrudia.
Mungu yupo amini msiamini Raila anapigwa chini Urais wa AU na kuangukia pua na wote East Africa tutafurahi na kusheherekea.
View attachment 3237069
Tlaatlaah
Nyau de adriz