Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I was referring to elective posts not the nominated ones, if Raila convinces the Kibra legislator to step down for him to have another shot in parliament there is little we can do other than accepting to shoulder the burden of the cost of a by-election. The nomination option is a tall order.
mkuu kibaridi mbona mnawaogopa sana hawa watu?au mnaogopa kufanyiwa checks and balances?kwa upande wa jubilee ujio wa hawa mabwana utakuwa sio habari nzuri kwao,lakini kwa upande wa cord na wakenya makabila 40,itakuwa faraja kwao kuwaona captain na lutenant wake wako bungeni kuwapeleka mbio jubilee.hii itawapa moral na nguvu wabunge wa upande wa cord.so kwa upande wangu naunga mkono hoja.
Stroke,maoni yako kaka siharamu,unaweza kutowa maoni,lakini kama ulifuatia ile kesi ya kipinga matokeo,ungejuwa kwamba mahakama pia ilikuwa imeshaamuwa kesi,wacha nikuambie ukweli kuhusu raila.labda humjui vizuri historia yake,au kwa njia rahisi ungemtafuta wasifa wake kupitia internate.wafisadi wanamuogopa raila na hawamuamini,wanajuwa akishika uongozi basi hata kilicho jificha mvunguni sharti kitolewe,na kibainike.sisi tunajivunua raila hapa,yeye ni mwana mageuzi na mwanaharakati.vyama vingi,katiba,haki kwa wote.ditation.ni vizuri ujifunze,lakini haistahili umbeze agwamboo.anaungwa mkono na mikoa sita ya kenya.na uhuru yake ni mikoa miwili tu,kwao central na kwa ruto rift valley.alamsik.mimi mwenyewe nimempigia kura agwambo.
.....Kenya haishindwi maana there are several and adequate systems to ensure the same 'thorns' do not upset the process of governance in kenya. What they are alledging to rule oposition without active representation or elective postions is unconstitutional and it is motivated mischief.
Playing the role of oppositon without direct election by the electorate is it constitutional? tuanzie hapo! to much bitterness and emotions at work
rutta, I am jubilated for sure; nakumbuka nikisema tangu zamani jubilee itashinda uchaguzi huu kwa raundi ya kwanza, na watu sawa na Ab-titchaz na wenzake walidhani nisharukwa akili na ninatunga nyimbo huku JF...nikawa kanakwamba najizungumzia..CORD is finished and Raila knows this more than anyone else. Hongera Kabaridi for Jubilee triumph.
rutta, I am jubilated for sure; nakumbuka nikisema tangu zamani jubilee itashinda uchaguzi huu kwa raundi ya kwanza, na watu sawa na Ab-titchaz na wenzake walidhani nisharukwa akili na ninatunga nyimbo huku JF...nikawa kanakwamba najizungumzia..
ushindi wa jubilee sio ukabila umesababisha, kuna mambo mengi ambayo yamechangia ushindi huu... (too many odds) pamoja na kampeni plans mwafaka kupangwa. wakati cord walijihakikishia ushindi hata kabla ya chaguzi yenyewe kufanya na kugeukia wanzao kwa tuhuma za ukabila na siasa chafu, jubilee walikuwa wanauza sera zao..
..hii itakuwa funzo kwa wanacord (kama kweli watapata nafasi siku zijazo)
may be ulikuwa na ushindi wa jubilee kwa sababu ulikuwa mmoja wa waratibu wa udanganyifu uliofanyika kwenye uchaguzi.kusima kweli jubilee walijipanga kwa njia zote kupata ushindi lakini sio round one.njia ya kwanza ilikuwa ni kutumia makabila mawili makubwa kikuyus and kalenjin,njia ya pili ilikuwa ni by rigging kupitia tume ya uchaguzi,njia ya tatu ilikuwa pesa,ubabe na vitisho hadi suprem court.kwa kuwa walikuwa wameshajiandaa kwa njia zote,mwisho wa siku wakapata ushindi wa mezani.kwa sasa kilichobaki ni kutimiza ahadi zao.uwezo wa kununua laptop ninao,ila mwakani nampeleka mwanangu Agwambo jnr kuanza std one kenya,nione kama atapewa laptop za uhuru.
Kwa nini watu hamtaki kukubaliana na ukweli? IEBC ilikua tume huru na SC ya kenya iko huru sasa haya mambo sijui mnayatoa wapi. Ukabila ni pale anaposhindwa Odinga tu, mbona hamuongelei ukabila wa wajaluo ambao miaka yote wamekua wakipiga kura pale yalipo maslahi ya mjaluo mwenzao.
ukisema tuongelee ukabila wa wajaluo,then ni vizuri tukatupia jicho na upande wa wakikuyu,mjaluo alishawai kumpigia kura mkikuyu,i mean kibaki,wakikuyu wana kasumba moja ya kutowapigia kura kabila lingine.mfano enzi za moi na kibaki.angalia uteuzi wa nafasi nyeti serikalini(kuna uzi humu jf) top layer yote ya leadership ni wakikuyu.hapo ndipo tunapata gats ya kuwaita wakabila,selfish,untrusted.
Anybody who clings on this notion knows nothing about kenyan politics, in 2002 Luos were not shedding the tribal tag because they loved Kibaki but were doing so to make Rao the prime minister of Kenya through Kibaki presidency.ukisema tuongelee ukabila wa wajaluo,then ni vizuri tukatupia jicho na upande wa wakikuyu,mjaluo alishawai kumpigia kura mkikuyu,i mean kibaki,wakikuyu wana kasumba moja ya kutowapigia kura kabila lingine.mfano enzi za moi na kibaki.angalia uteuzi wa nafasi nyeti serikalini(kuna uzi humu jf) top layer yote ya leadership ni wakikuyu.hapo ndipo tunapata gats ya kuwaita wakabila,selfish,untrusted.
Nlichamaanisha ni kua UHURUTO walishinda kihalali, tusiwe na visinginzio vya ukikuyu/kalenjing. Kenya ni zaidi ya kikuyu/kalenjing na waliopiga kura ni Wakenya wote na waliyempanda zaidi ndie aliyeshinda. Watu walio nje ya kenya wanakua wagumu kukubaliana na ukweli kua yalitokea ni maamuzi ya wakenya chini ya Katiba Mpya.
maamuzi ya makabila 2/40.wakenya kubalini kwamba kirusi cha ukabila kinawatafuna.mtu hata angekuwa mzuri kiasi gani kama sio kikuyu au mwenyeji wa bonde la ufa urais hapewe.hii inatokana na utawala wa dhuluma,na mauaji uliofanywa na kenyatta snr na moi.makabila yao yanaogopa kwamba akichukua mtu mwingine kutoka sehemu nyingine maovu yao yatatolewa hadharani.ndio maana siku zote wakikuyu na kalenjin wanatumia turufu ya idadi yao kulinda maovu,biashara haramu nje na ndani ya serikali,ukatili wa mauaji,saitoti,ojode,ouko,mboya,kariuki,bishop muge nk.
maamuzi ya makabila 2/40.wakenya kubalini kwamba kirusi cha ukabila kinawatafuna.mtu hata angekuwa mzuri kiasi gani kama sio kikuyu au mwenyeji wa bonde la ufa urais hapewe.hii inatokana na utawala wa dhuluma,na mauaji uliofanywa na kenyatta snr na moi.makabila yao yanaogopa kwamba akichukua mtu mwingine kutoka sehemu nyingine maovu yao yatatolewa hadharani.ndio maana siku zote wakikuyu na kalenjin wanatumia turufu ya idadi yao kulinda maovu,biashara haramu nje na ndani ya serikali,ukatili wa mauaji,saitoti,ojode,ouko,mboya,kariuki,bishop muge nk.
Wakenya wanataka raisi atakaewatoa hapo walipo na kuwafikisha mbele na ndio maana wanasonga mbele, hao wanaotaka kulipa visasi watasubili sana.
unamaanisha kumbe waliuwawa na utawala wa kikuyu na kalenjin.kumbe ndio maana mnaogopa makabila mengine kutawala.kwa nini mtakimbia dhambi zenu za kuwatoa roho watu mpaka lini? Sizani kama ni kulipa kisasi,bali ni kuwashikisha adabu watawala wanaopenda kuwaondoa wapinzani wao kwa njia ya kuwasababia mauti.