Raila and Kalonzo coming back to Parliament!

Raila and Kalonzo coming back to Parliament!

Siasa africa inalipa,yaani watakao step down watalipwa tsh 600m,na watakaoingia jee kwenye ubunge nani atawalipa?
 
I was referring to elective posts not the nominated ones, if Raila convinces the Kibra legislator to step down for him to have another shot in parliament there is little we can do other than accepting to shoulder the burden of the cost of a by-election. The nomination option is a tall order.

Ok he is credited for having lived the painful reform process in kenya unlike et al who inhabit where others build, and I believe he should continue living the reform process practically even outside active politics. Kalonzo and Raila were on an equal footing with their competitors b4 the election and they were plucked out overwhelmingly from the positions when kenyans decided at the polls; i do not see how one can bully their way back through by cancelling an electoral outcome of certain individuals in cord. That is a breach of the constitution (if it is not a breach then, you are yet to present us with legislation the permits such a move)

I would understand if one's role is a consultant. And also times have changed; leaders must train themselves to accept the outcome of an election and show they r implementing the constitution. What does the laws state?? that is how we move on from now.
 
mkuu kibaridi mbona mnawaogopa sana hawa watu?au mnaogopa kufanyiwa checks and balances?kwa upande wa jubilee ujio wa hawa mabwana utakuwa sio habari nzuri kwao,lakini kwa upande wa cord na wakenya makabila 40,itakuwa faraja kwao kuwaona captain na lutenant wake wako bungeni kuwapeleka mbio jubilee.hii itawapa moral na nguvu wabunge wa upande wa cord.so kwa upande wangu naunga mkono hoja.

Kuna mfumo mpya nchini, na system hii ina governer na seneta na speaker, kwenye bunge speaker ndiye ana usemi mkubwa. huu sio mfumo ule wa zamani ambapo muungano unaopoteza uchaguzi unakuwa upinzani. kwa kila jimbo kuna magavana ambao wanaongoza na ni wanachama wa cord.
....kwenye hii system ya ugatuzi serikali kuu haishiki majukumu na maamuzi yote katika afisi yake..

mbona hatukusikia viongozi wengine wakifanya jambo hili??..kama itatendeka (kalonzo na raila) kuwaondoa wabunge wapate nafasi bungeni, watakuwa wanaweka historia mpya ya kukanyagia katiba mpya chini kama ambavyo madikteta hufanya ili kufikia matakwa yao...

....nataka tu kuona kuwa tendio hili linakubalika katika sheria, nakuhakikishia sitendelea na huu mjadala.....

cord wamepigwa bao kwa njia nyingi na TNA tangu kushindwa kwa uchaguzi...baada ya uchaguzi TNA ilifanya post-election pacts na baadhi ya vyama tofauti. Cord pia wana nafasi ya kufanya hivyo kupitia wakuu wa vyama vyao, kushirikiana na vyama vingine vidogo ili kujiimarisha bungeni.

.. usitupotoshe kuwa ni makabila 40 ndio yalipigia cord kura na yaliosalia mawili yalipigia TNA kura..You need to get your mathematics right kwa sababu cord ingekuwa mamlakani hivi sasa. ukitembelea website ya IEBC utapata figures za uchaguzi uliopita( ni sehemu gani Tna Cord zilipata kura.
 
I think it will be better if they are either elected as member of parliament special seats or minister, this will help to bring unit among the followers of CORD and JUBILEE.
 
Stroke,maoni yako kaka siharamu,unaweza kutowa maoni,lakini kama ulifuatia ile kesi ya kipinga matokeo,ungejuwa kwamba mahakama pia ilikuwa imeshaamuwa kesi,wacha nikuambie ukweli kuhusu raila.labda humjui vizuri historia yake,au kwa njia rahisi ungemtafuta wasifa wake kupitia internate.wafisadi wanamuogopa raila na hawamuamini,wanajuwa akishika uongozi basi hata kilicho jificha mvunguni sharti kitolewe,na kibainike.sisi tunajivunua raila hapa,yeye ni mwana mageuzi na mwanaharakati.vyama vingi,katiba,haki kwa wote.ditation.ni vizuri ujifunze,lakini haistahili umbeze agwamboo.anaungwa mkono na mikoa sita ya kenya.na uhuru yake ni mikoa miwili tu,kwao central na kwa ruto rift valley.alamsik.mimi mwenyewe nimempigia kura agwambo.

Gambera & Crucial Man, huyu jamaa Raila amepigania haki na usawa kwa wananchi wa Kenya tokea enzi za ukandamizaji za Rais mbabe Mzee Moi, pia kumbuka alimpigia kampeni Mzee Kibaki kwenye uchaguzi wa mwaka 2002 baada ya Kibaki kupata ajali na kushindwa kufanya kampeni, wakamshinda chaguo la Mzee Moi (alikuwa Uhuru Kenyatta, aliyepata sasa). Inasemekana Raila alishinda 2007 ila matokeo yakageuzwa.

Ila wakikuyu huwa wanalaumiwa kwa kutopenda kuchagua kabila jingine, inadaiwa kuwa Uhuru alimwambia Ruto kuwa kama Ruto akiwa mgombea na Uhuru mgombea mwenza basi Raila atashinda kwani wakikuyu hawatampigia Ruto ambaye ni mkalenjin. Ndio maana Uhuru akawa mgombea urais na Ruto mwenza wake ili wakishinda awe naibu rais.

Waliongelea sana kuhusu 'numbers' wakimaanisha idadi wa watu wa makabila yao ambayo ni kubwa kwa maana ya kura wanazotegemea kupata.

Wakikuyu walikuwa wakimpinga sana rais Moi, na ndio maana hata ndoto inazodaiwa anazo Ruto za kuwa rais hapo baadaye zinaweza kukwamishwa na wakikuyu, ambao wana mtindo wa kuwapigia wenzao.

Raila akiamua kupumzika au kurudi Bungeni, nafasi yake ktk historia kama mpigania haki, demokrasia na usawa nchini Kenya ipo assured.

Kenya wana tatizo kubwa la ukabila. Tz kuna tatizo limeingia ss la udini. Ni tatizo baya sn. Mungu tuepishie mbali.
 
Raila na Kalonzo waongoze wakiwa nje ya bunge. Damu changa nazo zipate nafasi. Siasa sio lazima uwe kwenye system.
 
Heshima kwako ndugu ruta, kwa sasa Uhuru should concentrate on delivering his pledge to kenyans, because he is indebted to kenyans... infact uhuru should not bother about those that want to remain a 'thorn' in the flesh to the process of governance in kenya.
.....Kenya haishindwi maana there are several and adequate systems to ensure the same 'thorns' do not upset the process of governance in kenya. What they are alledging to rule oposition without active representation or elective postions is unconstitutional and it is motivated mischief.

Playing the role of oppositon without direct election by the electorate is it constitutional? tuanzie hapo! to much bitterness and emotions at work

CORD is finished and Raila knows this more than anyone else. Hongera Kabaridi for Jubilee triumph.
 
CORD is finished and Raila knows this more than anyone else. Hongera Kabaridi for Jubilee triumph.
rutta, I am jubilated for sure; nakumbuka nikisema tangu zamani jubilee itashinda uchaguzi huu kwa raundi ya kwanza, na watu sawa na Ab-titchaz na wenzake walidhani nisharukwa akili na ninatunga nyimbo huku JF...nikawa kanakwamba najizungumzia..
ushindi wa jubilee sio ukabila umesababisha, kuna mambo mengi ambayo yamechangia ushindi huu... (too many odds) pamoja na kampeni plans mwafaka kupangwa. wakati cord walijihakikishia ushindi hata kabla ya chaguzi yenyewe kufanya na kugeukia wanzao kwa tuhuma za ukabila na siasa chafu, jubilee walikuwa wanauza sera zao..

..hii itakuwa funzo kwa wanacord (kama kweli watapata nafasi siku zijazo)
 
africa bwana!! hivyo upinzani bila Odinga na Kallonzo haupo? hawa mapacha wawili wangeenda kupumzika kwa heshima. wakiingia ulingoni tena itakuwa nile ile kupinga kukiongozwa na bifu la majeraha ya matokeo ya uchaguzi na maamuzi ya supreme court. wawaache vijana hawa waujenge umoja wa kitaifa wa kenya unaohitajika
 
rutta, I am jubilated for sure; nakumbuka nikisema tangu zamani jubilee itashinda uchaguzi huu kwa raundi ya kwanza, na watu sawa na Ab-titchaz na wenzake walidhani nisharukwa akili na ninatunga nyimbo huku JF...nikawa kanakwamba najizungumzia..
ushindi wa jubilee sio ukabila umesababisha, kuna mambo mengi ambayo yamechangia ushindi huu... (too many odds) pamoja na kampeni plans mwafaka kupangwa. wakati cord walijihakikishia ushindi hata kabla ya chaguzi yenyewe kufanya na kugeukia wanzao kwa tuhuma za ukabila na siasa chafu, jubilee walikuwa wanauza sera zao..

..hii itakuwa funzo kwa wanacord (kama kweli watapata nafasi siku zijazo)

may be ulikuwa na ushindi wa jubilee kwa sababu ulikuwa mmoja wa waratibu wa udanganyifu uliofanyika kwenye uchaguzi.kusima kweli jubilee walijipanga kwa njia zote kupata ushindi lakini sio round one.njia ya kwanza ilikuwa ni kutumia makabila mawili makubwa kikuyus and kalenjin,njia ya pili ilikuwa ni by rigging kupitia tume ya uchaguzi,njia ya tatu ilikuwa pesa,ubabe na vitisho hadi suprem court.kwa kuwa walikuwa wameshajiandaa kwa njia zote,mwisho wa siku wakapata ushindi wa mezani.kwa sasa kilichobaki ni kutimiza ahadi zao.uwezo wa kununua laptop ninao,ila mwakani nampeleka mwanangu Agwambo jnr kuanza std one kenya,nione kama atapewa laptop za uhuru.
 
Kwa nini watu hamtaki kukubaliana na ukweli? IEBC ilikua tume huru na SC ya kenya iko huru sasa haya mambo sijui mnayatoa wapi. Ukabila ni pale anaposhindwa Odinga tu, mbona hamuongelei ukabila wa wajaluo ambao miaka yote wamekua wakipiga kura pale yalipo maslahi ya mjaluo mwenzao.
 
ukisema tuongelee ukabila wa wajaluo,then ni vizuri tukatupia jicho na upande wa wakikuyu,mjaluo alishawai kumpigia kura mkikuyu,i mean kibaki,wakikuyu wana kasumba moja ya kutowapigia kura kabila lingine.mfano enzi za moi na kibaki.angalia uteuzi wa nafasi nyeti serikalini(kuna uzi humu jf) top layer yote ya leadership ni wakikuyu.hapo ndipo tunapata gats ya kuwaita wakabila,selfish,untrusted.
 
Nlichamaanisha ni kua UHURUTO walishinda kihalali, tusiwe na visinginzio vya ukikuyu/kalenjing. Kenya ni zaidi ya kikuyu/kalenjing na waliopiga kura ni Wakenya wote na waliyempanda zaidi ndie aliyeshinda. Watu walio nje ya kenya wanakua wagumu kukubaliana na ukweli kua yalitokea ni maamuzi ya wakenya chini ya Katiba Mpya.
 
Anybody who clings on this notion knows nothing about kenyan politics, in 2002 Luos were not shedding the tribal tag because they loved Kibaki but were doing so to make Rao the prime minister of Kenya through Kibaki presidency.
 
Nlichamaanisha ni kua UHURUTO walishinda kihalali, tusiwe na visinginzio vya ukikuyu/kalenjing. Kenya ni zaidi ya kikuyu/kalenjing na waliopiga kura ni Wakenya wote na waliyempanda zaidi ndie aliyeshinda. Watu walio nje ya kenya wanakua wagumu kukubaliana na ukweli kua yalitokea ni maamuzi ya wakenya chini ya Katiba Mpya.

maamuzi ya makabila 2/40.wakenya kubalini kwamba kirusi cha ukabila kinawatafuna.mtu hata angekuwa mzuri kiasi gani kama sio kikuyu au mwenyeji wa bonde la ufa urais hapewe.hii inatokana na utawala wa dhuluma,na mauaji uliofanywa na kenyatta snr na moi.makabila yao yanaogopa kwamba akichukua mtu mwingine kutoka sehemu nyingine maovu yao yatatolewa hadharani.ndio maana siku zote wakikuyu na kalenjin wanatumia turufu ya idadi yao kulinda maovu,biashara haramu nje na ndani ya serikali,ukatili wa mauaji,saitoti,ojode,ouko,mboya,kariuki,bishop muge nk.
 
If only your type took their time and analysed where Jubilee got their votes from, how would they have surpassed the constitutional threshold of 25% of half of Kenyan counties if only two tribes were voting for them? But then again it doesn't pain to be delusional.
 
maamuzi ya makabila 2/40.wakenya kubalini kwamba kirusi cha ukabila kinawatafuna.mtu hata angekuwa mzuri kiasi gani kama sio kikuyu au mwenyeji wa bonde la ufa urais hapewe.hii inatokana na utawala wa dhuluma,na mauaji uliofanywa na kenyatta snr na moi.makabila yao yanaogopa kwamba akichukua mtu mwingine kutoka sehemu nyingine maovu yao yatatolewa hadharani.ndio maana siku zote wakikuyu na kalenjin wanatumia turufu ya idadi yao kulinda maovu,biashara haramu nje na ndani ya serikali,ukatili wa mauaji,saitoti,ojode,ouko,mboya,kariuki,bishop muge nk.

Wakenya wanataka raisi atakaewatoa hapo walipo na kuwafikisha mbele na ndio maana wanasonga mbele, hao wanaotaka kulipa visasi watasubili sana.
 
I had this discussion a few days earlier with some friends.
Bora Raila angeachana na politics, awe stateman fulani,
Kalonzo awe leader of the opposition but nje ya bunge
the Moses awe leader of the opposition ndani ya bunge
Hapo wangejiandalia mazingira mazuri ya #Kalonzo2018
 
Wakenya wanataka raisi atakaewatoa hapo walipo na kuwafikisha mbele na ndio maana wanasonga mbele, hao wanaotaka kulipa visasi watasubili sana.

unamaanisha kumbe waliuwawa na utawala wa kikuyu na kalenjin.kumbe ndio maana mnaogopa makabila mengine kutawala.kwa nini mtakimbia dhambi zenu za kuwatoa roho watu mpaka lini? Sizani kama ni kulipa kisasi,bali ni kuwashikisha adabu watawala wanaopenda kuwaondoa wapinzani wao kwa njia ya kuwasababia mauti.
 
Wakenya adui yao mkubwa ni umasikini na ukisimama kwenye jukwaa ukaishia kutaja majina ya watu bila kuwaeleza utawakwamuje kwenye umasikini kura utazisikia.
 
Back
Top Bottom