Raila and Kalonzo coming back to Parliament!

Raila and Kalonzo coming back to Parliament!

unamaanisha kumbe waliuwawa na utawala wa kikuyu na kalenjin.kumbe ndio maana mnaogopa makabila mengine kutawala.kwa nini mtakimbia dhambi zenu za kuwatoa roho watu mpaka lini? Sizani kama ni kulipa kisasi,bali ni kuwashikisha adabu watawala wanaopenda kuwaondoa wapinzani wao kwa njia ya kuwasababia mauti.

watu aina yako wataendelea kuishi kwenye ndoto siku zote, makabila mengine pia yanaweza kuwahusisha wapokomo au rendille, sasa ukitaka kusema eti makabila kenya inahusu tu wakikuyu na wajaluo umenoa.. nilipotazama mwisho niliona Jaramogi akiondoka bila kuongoza kenya; si ajabu mwanawe akfuata.

Sasa hivi ukosefu wa ajira, bei ya bidhaa kua ghali nk ndio mwananchi angependa kuelewa atayapata vipi?..kuimba tu ukabila ukabila haitoshi, wao wakenya waliona siasa hizi zikiwa pumbavu na kuitupilia mbali. baada ya miaka mitano si ajabu siasa ya kenya kugeuka kabisa tofauti na ile imekuwa ikipigwa.

pia kuna kipengee cha serikali ya kizazi kipya, katika digital age mambo au habari huenda kwa kasi na baada ya miaka kumi, mambo yatakuwa yamebadilika...

kama raila atarudi kwenye siasa, itabidi kuuza sera zenye manufaa
 
kama raila atarudi kwenye siasa, itabidi kuuza sera zenye manufaa

This is what people dont realise here, Raila's campaigns were full of insults directed towards certain communities, is it any wonder then that they mobilised each and every one of their own?
 
Wabaki nje ya bunge kukijenga chama for the next election
 
Wakenya adui yao mkubwa ni umasikini na ukisimama kwenye jukwaa ukaishia kutaja majina ya watu bila kuwaeleza utawakwamuje kwenye umasikini kura utazisikia.

so unakubaliana na mtindo wa watawala kutoka jamii fulani,kuwateketeza viongozi wa jamii ya pili in the name of njaa ya wakenya.utajisikiaje kama victim ni baba,mjomba au kiongozi wa jamii yako anauwawa?will you swallow the bitter pills na kesho yule yule muuwaji akija jukwaani kuomba kura unampa kwa sababu katowa ahadi ya unga kilo mia,na kumaliza umaskini?ina maana nyie wakenya hata kama wasomi na watetezi wenu wanamalizwa kwa kuuwawa hamhoji wala kuwapeleka wausika kwenye vyombo vya sheria kisa mtamaliziwa umaskini?kumbe ndio maana mnatawaliwa na Rais fugitive,convict,land graber eti eeh!sababu atawamalizia umaskini. Aisee kama ndio hivyo kweli nimeamini umaskini na njaa kitu kibaya sana.
 
maamuzi ya makabila 2/40.wakenya kubalini kwamba kirusi cha ukabila kinawatafuna.mtu hata angekuwa mzuri kiasi gani kama sio kikuyu au mwenyeji wa bonde la ufa urais hapewe.hii inatokana na utawala wa dhuluma,na mauaji uliofanywa na kenyatta snr na moi.makabila yao yanaogopa kwamba akichukua mtu mwingine kutoka sehemu nyingine maovu yao yatatolewa hadharani.ndio maana siku zote wakikuyu na kalenjin wanatumia turufu ya idadi yao kulinda maovu,biashara haramu nje na ndani ya serikali,ukatili wa mauaji,saitoti,ojode,ouko,mboya,kariuki,bishop muge nk.

Mkuu unanikumbusha machungu niloyapata Tom Mboya alivyouwawa kikatili na bila hatia bali ile kwamba alikuwa ni mtu aliyetarajiwa kumrithi Kenyata Snr. Mboya alikuwa mwanasiasa mahili aliyeweza konga nyoyo za wakenya na hata wakikuyu hadi wakamchagua mbunge wao Nairobi - na kama sikosei pale Kamkunji. Laana ilianzia pale na Kenyata Jnr nina imani atawarejesha wakenya pamoja. God Bless kenya.
 
mkuu we acha tu,wakikuyu sio binadamu,hata Ruto nina imani watamtosa tu.mboya walimuuwa kikatili sana,kumbuka wakalenjin Moi na biwott walivyo mteka ouko kwake,wakamtesa kisha wakamchoma kwa acid,then wakamtupa mlima alila.kisa alimsaidia moi kujibu maswali majuu.odinga ndio wamemshindwa.
 
Mkuu unanikumbusha machungu niloyapata Tom Mboya alivyouwawa kikatili na bila hatia bali ile kwamba alikuwa ni mtu aliyetarajiwa kumrithi Kenyata Snr. Mboya alikuwa mwanasiasa mahili aliyeweza konga nyoyo za wakenya na hata wakikuyu hadi wakamchagua mbunge wao Nairobi - na kama sikosei pale Kamkunji. Laana ilianzia pale na Kenyata Jnr nina imani atawarejesha wakenya pamoja. God Bless kenya.

Mkuu
Tom Mboya alikuwa ni kutokea wapi? alikuwa ni Mluhya?
 
if they still have an inner drive to serve Kenyans i dont see why we should rush to confine them to history.

Even,,,,go ahead and pay 30million so,,,,, as "to serve Kenyans",,how
patriotic of them?????
:wink::wink:

The best Raila can do now,,,,is face the reality and
spare himself more embarrassments.

Imagine Raila an MP in Kenya and not PM ,,, not,,
even president??

These people still drugging Raila into all these,,
really,,,,are very blind.

Let Raila and Kalonzo,,,,go into peaceful
retirement as has happened to Kibaki.

If CORD is dead because Raila is no longer
around,,,,then,,,,very sorry,,,,,,and very
hard to revive Agwambo,,,,politically,,,,,
using "those" crude methods.

What Johnston Muthama should be doing
is,,,,,, pay that amount of 30M to his excellency
former VP mr Kalonzo Musyoka,,,for misleading
him...into aaaaaaaaall this big headache.

The end of Kibaki,,,Raila,,,Kalonzo,,,,,,,,, the end of this ERA and
beginning of a new one
.

The end of 10 long years of constant confrontations.
 
kikuyus mnamuogopa Raila kama ukoma.najua ni kwa sababu ya maovu yenu. Mauaji toka enzi za kenyatta snr,akaja kibaraka wenu moi,nae akaendeleza mauaji,kibaki na uhuru nae mauji kwenda mbele.thats why mkikuyu hataki kabila lingine kuingia madarakani,mnaogopa kushikishwa adabu.hahahaha hawa jamaa urafiki wao na jk sio wa kufumbia macho.ndio maana mwalimu nyerere hakuwa karibu na kenyatta wala moi.cheki walivyo mfanyia saitoti,kisa alikuwa anajua siri ya drug barons ikiwemo familia ya kibaki.pia uhuru alikuwa anamhofia sana saitoti kwa sababu walikuwa wamesha saini secret pact na odinga.(jichopevu)
 
This is what people dont realise here, Raila's campaigns were full of insults directed towards certain communities, is it any wonder then that they mobilised each and every one of their own?

Please provide evidence to this snake oil you are trying to sell here...a video clip or even a report where Raila's campaigns were full of insults to certain communities...could you please name those communities that you are talking about. Lying about Raila is a dish best served by the folks from Mt Kenya even in their unjustified paranoia they will tell you Raila said this, Raila said that....give us a break!
 
Six MPs to step down for Raila, Kalonzo

DNCORD2901J.jpg

Former Prime minister Raila Odinga (left) and Former Vice president Kalonzo Musyoka (right) read through copies of an MOU with North Rift farmers and professional groups, which they later signed on the 29th of January 2013. Photo/Emma Nzioka | FILE NATION MEDIA GROUP

By ISAAC ONGIRI
iongiri@ke.nationmedia.com
Posted Friday, April 12 2013 at 23:30

In Summary

  • Cord bosses lost presidential election to Jubilee and their supporters want them back in Parliament to bolster opposition
  • The leaders are expected to decide on the offer tomorrow at Naivasha retreat

Cord lawmakers have identified eight MPs and senators who may be asked to step down for alliance leaders Raila Odinga and Kalonzo Musyoka so that they can return to Parliament.

If the plan succeeds, by-elections will be held in the two affected constituencies where Mr Odinga and Mr Musyoka are expected to win. The chosen electoral areas are considered safe seats for ODM and Wiper parties.

The six constituencies are
Lang'ata, Kibra, Homa Bay Town, Kisumu Central, Mwingi Central and Mwingi North.

Mr Odinga and Mr Musyoka are former prime minister and vice-president respectively in the coalition government that lapsed on Tuesday. They are expected to decide on the offer tomorrow at a Cord MPs' retreat in Naivasha.

The two returned to the country on Wednesday from South Africa where they took a post-election vacation together with Bungoma Senator Moses Wetang'ula.

On Friday, Makueni Senator Mutula Kilonzo said the issue had been discussed and it was up to the two leaders to decide.

"This matter is being talked about within the coalition caucuses. My advice to the two gentlemen is that they should not touch the nominated MPs," Mr Kilonzo said.

The cosmopolitan constituencies represented by MPs Joshua Olum (Lang'ata), Kenneth Okoth (Kibra), Peter Kaluma (Homa Bay Central) and Ken Obura (Kisumu Central) are seen as ideal for Mr Odinga's comeback.

Mr Odinga previously represented Lang'ata that was split into Kibra and Lang'ata constituencies. He lives in Karen, Lang'ata, but is a registered voter in Kibra. He also has a home in Kisumu Central.

The Kibra MP said he was aware of the discussion but had not been told to step down. "I have not been approached to step down for Mr Odinga and I would rather not comment," Mr Okoth said.

Mr Kaluma said he would oblige if he was asked to step down. "There are many people willing to step down for Mr Odinga and Mr Musyoka to make their way back to Parliament. And if Peter Kaluma is the one to give way I will do it," said the Homa Bay Central MP.

In Ukambani, Mr Munuve (Mwingi North) and Mr Joe Mutambu (Mwingi Central) of Wiper party were targeted for the request.

Mr Munuve told the Saturday Nation yesterday he would reject the request.

"I haven't been approached on this but I have also discouraged those who are approaching people," he said. "I have categorically mentioned to them that I have a contract with the people and it is non-transferable. I empathise with the former VP but my seat is not available."

He said Mr Musyoka could seek an elective seat anywhere in the republic.

"I promise to engage in very vigorous campaign for him from any constituency he will be running in once someone steps down for him." Mr Musyoka represented Mwingi North for almost three decades.

Mr Mutambu welcomed the overtures. "I fully support calls to have these two leaders back in Parliament. These are our suggestions as leaders and it should be clear that Mr Odinga and Mr Musyoka are not dying to be in Parliament," he said.

On Thursday, Senators Johnstone Muthama (Machakos) and James Orengo (Siaya) said they would give up their seats for the two leaders if need be.

Six MPs to step down for Raila, Kalonzo - Politics - nation.co.ke
 
Warudi wakawape wabunge wa cord nguvu na moyo bungeni...haijalishi walikuwa Pm,VP.ukizingatia wabunge wenyewe wako willing kuwapisha,sio kosa hapo,kama kupiga kelele nje ya bunge wapo watu wengi na asasi za kiraia nyingi tu zitashambulia from outside,wao wakashambulie bumgeni.
 
Please provide evidence to this snake oil you are trying to sell here...a video clip or even a report where Raila's campaigns were full of insults to certain communities...could you please name those communities that you are talking about. Lying about Raila is a dish best served by the folks from Mt Kenya even in their unjustified paranoia they will tell you Raila said this, Raila said that....give us a break!

I wont do any fishing for you, if you were so CORDED as you claim you will not have escaped the fact that Muthama was so pissed off with Kikuyus and Kalenjins that he asked whether it only their women who have ******s to(let me live it at that), do we need to be reminded what your young man Ababu Namwaba was saying?
 
mkuu Dhuk wewe nae umezidi,kika coment Raila,as if Alishawai pita na bibi yako.Hata kama ni siasa,hata kama ni kum hate Raila wewe umezidi.
 
mkuu Dhuk wewe nae umezidi,kika coment Raila,as if Alishawai pita na bibi yako.Hata kama ni siasa,hata kama ni kum hate Raila wewe umezidi.

La hasha, mimi napigana na upotovu mnaoleta hapa kwamba wengine weupe kama pamba na wengine wachafu kupindukia.
 
Kundi la cord limegawanyika pande mbili. moja yamtaka aliyekuwa waziri mkuu kuongoza upinzani nje ya bunge, lingine likiongozwa na ababu namwamba yataka aongoze upinzani akiwa ndani ya bunge. tayari hii ni hatari maana kuna uwezekano wa kuenea kwa kiasi kikubwa mno malumbano na visasi kwenye mrengo huo badala ya utenda kazi kwa wabunge.

Yatakiwa CORD kugeuza jina na kuondoa bango la CORD kwa kuvunja demokrasia. yaonekana ni kama wanachama wa cord wameanza kudhihirisha udhaifu wao kutekeleza maendeleo sehemu zao.
 
I wont do any fishing for you, if you were so CORDED as you claim you will not have escaped the fact that Muthama was so pissed off with Kikuyus and Kalenjins that he asked whether it only their women who have ******s to(let me live it at that), do we need to be reminded what your young man Ababu Namwaba was saying?

Yikes!
And why did you decide to shift goalposts? I'm asking you about Raila...who you conveniently quoted above in your initial thread and then now you are telling us about Muthama. That was not the question you were asked in the first place if you care to answer. Your dislike for Raila is very evident across this forum up to including snidely saying that he goes on a catwalk if he is Kenya's favorite.....And what has Ababu got to do with what I asked of you?
 
most arguments in this forum have raila as the benchmark you need not always pre-condition your mind and yourself to defend odinga.. because he is just a human being
 
Machakos Senator Johnstone Muthama insists that he is ready to step down for either former Prime Minister Raila Odinga or former Vice President Kalonzo Musyoka for one of them to make a come back to parliament.
Addressing a press conference at his Nairobi residence this morning Muthama said Odinga will become politically irrelevant if he stays out of parliament.

http://www.mwakilishi.com/content/a...itically-irrelevant-out-of-house-muthama.html
 
Last edited by a moderator:
Hivi Odinga na Kalonzo hawajui kuwa kuna maisha hata bila kuwa na madaraka?
 
Back
Top Bottom