Kabaridi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 2,022
- 534
unamaanisha kumbe waliuwawa na utawala wa kikuyu na kalenjin.kumbe ndio maana mnaogopa makabila mengine kutawala.kwa nini mtakimbia dhambi zenu za kuwatoa roho watu mpaka lini? Sizani kama ni kulipa kisasi,bali ni kuwashikisha adabu watawala wanaopenda kuwaondoa wapinzani wao kwa njia ya kuwasababia mauti.
watu aina yako wataendelea kuishi kwenye ndoto siku zote, makabila mengine pia yanaweza kuwahusisha wapokomo au rendille, sasa ukitaka kusema eti makabila kenya inahusu tu wakikuyu na wajaluo umenoa.. nilipotazama mwisho niliona Jaramogi akiondoka bila kuongoza kenya; si ajabu mwanawe akfuata.
Sasa hivi ukosefu wa ajira, bei ya bidhaa kua ghali nk ndio mwananchi angependa kuelewa atayapata vipi?..kuimba tu ukabila ukabila haitoshi, wao wakenya waliona siasa hizi zikiwa pumbavu na kuitupilia mbali. baada ya miaka mitano si ajabu siasa ya kenya kugeuka kabisa tofauti na ile imekuwa ikipigwa.
pia kuna kipengee cha serikali ya kizazi kipya, katika digital age mambo au habari huenda kwa kasi na baada ya miaka kumi, mambo yatakuwa yamebadilika...
kama raila atarudi kwenye siasa, itabidi kuuza sera zenye manufaa