Raila kuja Tanzania Jumamosi kuishawishi Serikali juu ya COVID-19

Ufipa reference za nondo zao zote ni πŸ‡°πŸ‡ͺ. Poor zero brain
 
Kenya wanakujali nini wewe pimbi..ikiwa wenyw kwa wenyw hawapendani wewe wakujali kitu gani?
 

Anakuja kibiashara. Atamsihi Rais kutoa vikwazo ili mizigo yake iingie TZ. Naye katumwa na Kenyata.

Si Raila Tu bali kimsingi mazungumzo yanaendelea, na hivi punde biashara zitaendelea kama kawaida. Huku ni kusukumana kidogo tu kama kwenye mpira vile halafu baada ya dakika 2 mpira unaendelea kama kawaida na mwisho wa mechi wote wanapeana mikono katika nyuso za furaha.

La msingi Kenyata dola za IMF kazipata na TZ vyuo vimefunguliwa, utalii kama kawaida na nyungu mtindo mmoja.
 
Bichwa kontena Akili Kisoda

Iyo Bichwa yako ni mzigo tu kwa mwili yako aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumba ,diplomasia ya kugeuzwa Tanzania shamba la bibi ?,acha upumbavu dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi mleta mada kataja lockdown? Kenya wenyewe hawana lockdown! Mimi pia siyo muumini wa lockdown ila kuna vitu kama tungevizuia mapema basi leo tusingekuwa tunakuja na sanaa za kila namna kujitetea!
Tulichelewa kuchukua hatua. Sasa tunatapatapa na kuparurana macho. Kilichobaki ni kuaminishana tu kuwa Corona imepungua au haipo. Tushehereke ila akili ni nywele kila mtu na zake.
 
Anapoteza pesa na mda wake. Tunnamkaribisha. Ila asilalamike akiondoka na ka-dose.
 
Huon Kama unaongea matango kwanza umesikia wap ajenda ya ziara yake? Mbona mnalazimisha kuzika points za magufuli na kazi zake kubwa Yan atoke Uganda kuja kumshawish magufuli afunge Lock down huon Kama unaongea pumba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu sjui ulimbukeni Mh. Rais kashasema kila Nchi ina taratibu zake za kuchukua hatua,so unataka Tz iigwe mfano wa Kenya ndo ufurah kuwa Nchi imechukua hatua

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…