nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,802
- 4,459
- Thread starter
- #61
U tapewa tu source usijali hii ni yamoto. Wameangalia Mtu mzima aliyepo na mwenye busara kati ya viongozi ambao wanaweza kumwelekeza ni Raila.Mkuu ingependeza sana ukatuwekea na source ili tuendelee kumshukuru maulana kwa kuanza kujibu Sala zetu tukiwa na amani zaidi.
Kwa mwendo huu tunaelekea pazuri, kwani ni wazi kuwa penye wengi hakuharibiki jambo.
Tutakuwa tunaelekea kwenye right track.
Mungu ibariki Tanzania.
Utasikia tu huu ni mkakati wa East Africa kuweza kumwelekeza mwenzao maana hata M7 alisema hamwelewi. Shida iko, Kagame amezuia Malori kuingia Rwanda wiki ya pili sasa na ndiye alikuwa rafiki yake.