Kila mtu afuate njia yake ya kukabili Covid-19 kama wao wamechagua lockdown basi acha wajilock, we nae ni mpuuzi hujui hata unachotetea.
Sent using Jamii Forums mobile app
JETanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope
Imagine Raila kuja Tanzania kumshawishi Rais afuate taratibu za kitaalamu ili kutokomeza ugonjwa. Tumekuwa hatuaminiki kabisa.
Awamu iliyopita ilijenga diplomasia kiasi kwamba kila Nchi kubwa America, China, India zilikuwa zinapishana angani kuja Tanzania kutangaza misimamo na sera zao leo =o
Uingereza imeondoa raia wake, ili kuwakoa wasije kufia ugenini ikawa aibu kwa Taifa kubwa kama British.
Nashauri tu wataalamu waachiwe na Ndugulile arudishwe ili tutengeneze takwimu vizuri maana huyo mwingine hatumjui alafu hatuna historia yake kikazi. Hapa muhimbili hajui hata malango wa kukingilia.
Tanzania tuko chini kiasi hiki?
Yaani ili kutuonyesha kuwa upinzani sio Ugonvi au vita au Fitina Raila katumwa na Raisi wa Kenya aje apatanishe atuweke sawa.
Hongera sana wa Kenya kwa kutujali.
Dr. Godwin Mollel sio mbaya ila walitakiwa wawepo yeye na Faustine Ndugulile kwa pamoja na sio Ummy MwalimuTanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope
Imagine Raila kuja Tanzania kumshawishi Rais afuate taratibu za kitaalamu ili kutokomeza ugonjwa. Tumekuwa hatuaminiki kabisa.
Awamu iliyopita ilijenga diplomasia kiasi kwamba kila Nchi kubwa America, China, India zilikuwa zinapishana angani kuja Tanzania kutangaza misimamo na sera zao leo =o
Uingereza imeondoa raia wake, ili kuwakoa wasije kufia ugenini ikawa aibu kwa Taifa kubwa kama British.
Nashauri tu wataalamu waachiwe na Ndugulile arudishwe ili tutengeneze takwimu vizuri maana huyo mwingine hatumjui alafu hatuna historia yake kikazi. Hapa muhimbili hajui hata malango wa kukingilia.
Tanzania tuko chini kiasi hiki?
Yaani ili kutuonyesha kuwa upinzani sio Ugonvi au vita au Fitina Raila katumwa na Raisi wa Kenya aje apatanishe atuweke sawa.
Hongera sana wa Kenya kwa kutujali.
Tanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope

🚮🚮🚮🚮🚮 utopoloTutaelewana tu, hiyo jumamosi utajua tu kuwa nani mjinga na yupi mwerevu. Na mkija kwenye anga zetu na jezi zenu mtajua tu kuwa hatuwapendi. Na ndipo mtakumbuka kwanini Lissu alisindikizwa faster kuhamishiwa Nairobi.
Shida kubwsa ni namna nguvu inavyotumika kulazmisha uwongo uitwe ukweli!....Ukitazama hadi baadhi ya vyombo vya habari vimekazana vinatangaza eti kuna pongezi zinamiminika kuipongeza serikali kwa jinsi ilivyoweza kukabiliana na corona! ...Hapa nabaki hoi maana hata njia zilizotumika kukabiliana na ugonjwa zimetangazwa kuwa ni poor! Mfano ; Mkoa wa Dar es salaam ambao ndio unaongoza kwa maambukizi, mkuu wake wa mkoa ambae ameshajipa poa jukumu la waziri wa afya aliendesha operation ya kunyunyiza madawa barabarani na mitaani , huku akiwambia wananchi wavae leso kama kwamba ndio barakoa! Lakini majuzi Shirika la Afya duniani (WHO) limetangaza kuwa kupulizia madawa barabarani au mitaani hakusaidii kupambana na Corona, Pia wataalam wengine wa afya walishaweka wazi kuwa barakoa za vitambaa vya kawaida zikiwemo leso havizuii bakteria wa Corona! Lakini cha kushangaza hata takwimu zilizosema ugonjwa umepungua, hazisemi jumla wagonjwa walikuwa wamefika wangapi? Na wamepona wangapi? Na dawa dawa ipi imethibitika kuwa dawa inayotibu huu ugonjwa!....Lakini wakati hali ikiwa wima namna hii, tayari Makonda katangaza kufungulia biashara zote zilizokuwa zimefungwa kujikinga na Corona! Vivo tayari na wizara ya Utalii nao wamefungulia watalii kuanza kumiminika nchini! Najiuliza je hivi tangu Rais atoe ile hotuba jumapili Je ni kweli Makonda na Wizara ya Utalii wamefanya tathmini ya kina kujiridhisha na hali ya ugonjwa huu kitaifa na kimataifa?....Je ikitotokea wakaja watalii 500 kwa mkupuo ni wizara imeshajiandaa kwa vifaa vyote vya kuwakinga wahudumu wa mapokezi na pia kuwapima hawa wote?....Ni kweli sekta ya utalii imeyumba sana kiuchumi kutokana na Corona, lakini tunashauri kuwepo na tahadhari ya kutosha sababu dunia nzima bado vifo na maambukizi vimeendelea kuripotiwa hivyo lazima twende na breki huu ugonjwa sio wa kufanyia mzaha alafu tunaanza kujifariji na kujipa sifa tusizokuwa nazo!Tanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope
Imagine Raila kuja Tanzania kumshawishi Rais afuate taratibu za kitaalamu ili kutokomeza ugonjwa. Tumekuwa hatuaminiki kabisa.
Awamu iliyopita ilijenga diplomasia kiasi kwamba kila Nchi kubwa America, China, India zilikuwa zinapishana angani kuja Tanzania kutangaza misimamo na sera zao leo =o
Uingereza imeondoa raia wake, ili kuwakoa wasije kufia ugenini ikawa aibu kwa Taifa kubwa kama British.
Nashauri tu wataalamu waachiwe na Ndugulile arudishwe ili tutengeneze takwimu vizuri maana huyo mwingine hatumjui alafu hatuna historia yake kikazi. Hapa muhimbili hajui hata malango wa kukingilia.
Tanzania tuko chini kiasi hiki?
Yaani ili kutuonyesha kuwa upinzani sio Ugonvi au vita au Fitina Raila katumwa na Raisi wa Kenya aje apatanishe atuweke sawa.
Hongera sana wa Kenya kwa kutujali.
Raila ana kipi cha kuishauri Tz ilhali corona ipo kenya na inaendelea kuchukua maisha ya watu, nilitegemea uniletee mtu ambae nchi yake at least imepiga hatua ktk kupambana na huu ugonjwaTanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope
Imagine Raila kuja Tanzania kumshawishi Rais afuate taratibu za kitaalamu ili kutokomeza ugonjwa. Tumekuwa hatuaminiki kabisa.
Awamu iliyopita ilijenga diplomasia kiasi kwamba kila Nchi kubwa America, China, India zilikuwa zinapishana angani kuja Tanzania kutangaza misimamo na sera zao leo
Uingereza imeondoa raia wake, ili kuwakoa wasije kufia ugenini ikawa aibu kwa Taifa kubwa kama British.
Nashauri tu wataalamu waachiwe na Ndugulile arudishwe ili tutengeneze takwimu vizuri maana huyo mwingine hatumjui halafu hatuna historia yake kikazi. Hapa muhimbili hajui hata malango wa kukingilia.
Tanzania tuko chini kiasi hiki?
Yaani ili kutuonyesha kuwa upinzani sio Ugomvi au vita au Fitina Raila katumwa na Raisi wa Kenya aje apatanishe atuweke sawa.
Hongera sana wa Kenya kwa kutujali.
Huenda pia yeye apewe sehemu yake Nairobi 😁Raila aje tu kama anaongelea biashara zake na Kenyatta zilizoko Tanzania ruksa sababu wote wamewekeza Tanzania mengine hayawahusu Magufuli hana vitega uchumi Kenya hauzi hata mishikaki tofauti na wao