Raila kuja Tanzania Jumamosi kuishawishi Serikali juu ya COVID-19

Inasikitisha na aibu unapotoa hoja zenye kudhihirisha kuwa hujiamini. Niamini huwa huendi kwa jirani akusaidie jinsi ya kuongoza nyumba yako. Subiri hao viongozi wako watakapopewa ridhaa ya kuongoza nchi hii, wazingatie ushauri wako.
 
Sijui kwa nini watu wanadhani lockdown ndiyo best option ya kupambana na hivi virusi.

Option zote mbili ni nzuri na kila moja ina faida na hasara zake. Halafu kama Taifa tuko huru kuamua ni njia gani tuifuate, na kila option haiwezi kumfurahisha kila mtu. hata huko wanakofanya lockdown, kuna watu wanaandamana kupinga.

Tatizo siasa nyingi sana from both sides. JPM kaamua ndiyo kaamua, hata huyo Raila kama lengo ni Lockdown atakula za Uso.
Hiyo lockdown umeisoma wapi kwenye hoja ya mtoa mada?
 
Sijui kwa nini watu wanadhani lockdown ndiyo best option ya kupambana na hivi virusi.

Option zote mbili ni nzuri na kila moja ina faida na hasara zake. Halafu kama Taifa tuko huru kuamua ni njia gani tuifuate, na kila option haiwezi kumfurahisha kila mtu. hata huko wanakofanya lockdown, kuna watu wanaandamana kupinga.

Tatizo siasa nyingi sana from both sides. JPM kaamua ndiyo kaamua, hata huyo Raila kama lengo ni Lockdown atakula za Uso.
Unajua nini?
 
Kila mtu afuate njia yake ya kukabili Covid-19 kama wao wamechagua lockdown basi acha wajilock, we nae ni mpuuzi hujui hata unachotetea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Raila aje tu kama anaongelea biashara zake na Kenyatta zilizoko Tanzania ruksa sababu wote wamewekeza Tanzania mengine hayawahusu Magufuli hana vitega uchumi Kenya hauzi hata mishikaki tofauti na wao
 
Tanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope

Imagine Raila kuja Tanzania kumshawishi Rais afuate taratibu za kitaalamu ili kutokomeza ugonjwa. Tumekuwa hatuaminiki kabisa.

Awamu iliyopita ilijenga diplomasia kiasi kwamba kila Nchi kubwa America, China, India zilikuwa zinapishana angani kuja Tanzania kutangaza misimamo na sera zao leo =o

Uingereza imeondoa raia wake, ili kuwakoa wasije kufia ugenini ikawa aibu kwa Taifa kubwa kama British.

Nashauri tu wataalamu waachiwe na Ndugulile arudishwe ili tutengeneze takwimu vizuri maana huyo mwingine hatumjui alafu hatuna historia yake kikazi. Hapa muhimbili hajui hata malango wa kukingilia.

Tanzania tuko chini kiasi hiki?

Yaani ili kutuonyesha kuwa upinzani sio Ugonvi au vita au Fitina Raila katumwa na Raisi wa Kenya aje apatanishe atuweke sawa.

Hongera sana wa Kenya kwa kutujali.
Unaongelea kutokomeza corona wakati waliokuwa wamejifungia wanaamua kutoka hivyo hivyo kabla hawajaitokomeza.

Wewe na wazungu waliokuwa wanatabiri Africa tutakufa kama kuku wenye sotoka na Corona walisahau kuwa Mungu yupo.
 
Unajua nini?
Tueleze wewe unayejua. Mwambieni Raila kama anakuja kwa ajili ya kushawishi Lockdown atakula za uso na kurejea Kenya kichwa chini. JPM is Firm.

Lile la mipaka wameshamaliza ni utaratibu tu, unasubiriwa biashara ziendelee.
 
Magufuli asikubali kukutanana na watu, waongee kwenye simu. Huyo Raila anatafuta nini aji lockdown na a keep social distance na obey matakwa ya nchi yake hakuna kutoka Nairobi.

Magufuli usikubali kukutana na watu, fanya video conferencing.
 
Magufuli asikubali kukutanana na watu, waongee kwenye simu. Huyo Raila anatafuta nini aji lockdown na a keep social distance na obey matakwa ya nchi yake hakuna kutoka Nairobi.

Magufuli usikubali kukutana na watu, fanya video conferencing.
 
Tanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope

Imagine Raila kuja Tanzania kumshawishi Rais afuate taratibu za kitaalamu ili kutokomeza ugonjwa. Tumekuwa hatuaminiki kabisa.

Awamu iliyopita ilijenga diplomasia kiasi kwamba kila Nchi kubwa America, China, India zilikuwa zinapishana angani kuja Tanzania kutangaza misimamo na sera zao leo =o

Uingereza imeondoa raia wake, ili kuwakoa wasije kufia ugenini ikawa aibu kwa Taifa kubwa kama British.

Nashauri tu wataalamu waachiwe na Ndugulile arudishwe ili tutengeneze takwimu vizuri maana huyo mwingine hatumjui alafu hatuna historia yake kikazi. Hapa muhimbili hajui hata malango wa kukingilia.

Tanzania tuko chini kiasi hiki?

Yaani ili kutuonyesha kuwa upinzani sio Ugonvi au vita au Fitina Raila katumwa na Raisi wa Kenya aje apatanishe atuweke sawa.

Hongera sana wa Kenya kwa kutujali.
Ugonjwa upi? Watu wanacheza singeli na ku celebrate happy birthday wodini.....

Sasa anakuja kupatanisha nini mbona hujasema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom