Raila kumshtaki Mahakamani Rais Ruto kuhusu vifo vya waumini vilivyotokea Shakahola

Raila kumshtaki Mahakamani Rais Ruto kuhusu vifo vya waumini vilivyotokea Shakahola

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Kongozi wa Umoja wa Azimio, Raila Odinga amesema anachukua uamuzi huo dhidi ya Rais wa Kenya, William Ruto ambaye ameunda Kamati ya kuchukunguza miili 110 iliyofukuliwa katika eneo la #Shakahola lilipo katika Kanisa la Good News International Church, ambapo takribani Watu 320 wameripotiwa kupotea.

Uamuzi huo umekuja siku moja baada ya Polisi kumzuia Odinga na wasaidizi wake kuingia katika eneo la tukio.

Odinga amesema “Rais hana uwezo ya kuunda jopo la uchunguzi, hiyo ni kazi ya Bunge, Bunge lenyewe limelala halijafanya hiyo kazi, nitamshitaki Ruto kwa kukiuka Katiba, watuhumiwa walionekana wakisali pamoja na viongozi wa Taifa, hivyo Serikali haiwezi kujichunguza tukio ambalo nao wanahusika.”


======================

Shakahola Massacre: Raila To Move To Court To Challenge Ruto Move To Order Inquiry

Azimio la Umoja One Kenya Alliance party leader Raila Odinga now says that he will move to court to petition President William Ruto's decision to form a commission of inquiry into the Shakahola starvation cult.

His sentiments come just a day after he was denied access to the Shakahola mass grave site where forensics detectives have since exhumed 110 bodies.

Speaking on Saturday at the funeral of Mzee Daniel Mwachiro Korokoro in Chonyi village, Kilifi South Constituency, Kilifi County, Raila insisted that President Ruto does not have the constitutional powers to set up the commission, further noting that only Parliament can do so.

"Nimeona bwana Ruto jana ameweka tume ya kufanya uchunguzi. Rais hana uwezo ya kuunda jopokazi ya kufanya uchunguzi. Hiyo imewekwa chini ya Bunge na juzi nimeambia bunge yetu waunde tume ya uchunguzi. Bunge inalala; haijefanya kazi hiyo," he said.

"Mimi nitaenda mahakama kusema hiyo jopokazi ameweka ni kinyume ya katiba."

Raila went on to claim that Ruto only instituted the tribunal to cover-up the exact details of the Shakahola massacre.

"Wanataka kuzika hii maneno ndio sababu wanaunda tume. Tunataka kujua nani alifanya hii maneno," he said.

"Hao wanaohusika wameonekana wakiomba na viongozi wa taifa hii... Tunataka hii maneno ichunguzwe vizuri lakini haiwezi chunguzwa na serikali inashukiwa ilikuwa ndani ya huko."

President Ruto, in a gazette notice released on Friday, named members of the commission that will be led by Lady Justice Jessie Lesiit.

The other members will be; Lady Justice (Rtd.) Mary Muhanji Kasango, Eric Gumbo, Bishop Catherine Mutua, Dr. Jonathan Lodompui, Dr. Frank Njenga, Wanyama Musiambu and Albert Musasia.

He also named two Joint Secretaries; Oliver Kipchumba Karori and Rachel Maina, as well as Kioko Kilukumi as the Lead Counsel.

President Ruto further designated Vivian Janet Nyambeki and Bahati Mwamuye as the commission’s assisting counsel.

The Head of State, in the notice, tasked the commission with inquiring into the deaths as well as allegations of torture and inhumane treatment of followers of controversial self-proclaimed pastor Paul Mackenzie and his Good News International Church based in Kilifi County.


Source: Citizen Digital
 
Sidhani kama haya mauaji yalitokea wakati Ruto ni rais wa kenya.
 
Back
Top Bottom