Raila na Makenzie wanaiendesha Kenya

Raila na Makenzie wanaiendesha Kenya

ushashi

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
375
Reaction score
518
Odinga Kila analosema wanatii, hata aliwambia kesho msipige mswaki asee jamaa wanatii the same Makenzie aliwambia hakuna kula mpaka mfe na kweli wakatii na wakafa kweli, hahaaa nimehitimisha Wakenya wanaendeshwa na akili za wengine, wanapenda kuiga mambo ya wengine, Lugha na tamaduni za wengine,

Chakula wanachokula kimelimwa na wengine, na hapo walipo wanataka mtu mwingine awaletee unga majumbani kwenye masufuria Yao badala ya kupiga kazi.

Swali langu ni lini wakenya mtatumia akili zenu wenyewe mkaacha kutumia akili za kushikiwa? Wake up guys and think.
 
Acha ujinga hili la kwetu la Bandari limekushinda unahangaika na ya watu,pambania nchi yako
Acha kulia lia wewe kibwengo. Mambo yako ya bandari peleka jukwaa la siasa huko; hapa ni jukwaa la Kenya🤣🤣
 
Wakenya watumbafu kabisa
Yaan billionaire Odinga anawadanganya eti anawatetea wanyonge huku anafanikisha mambo yake ya kisiasa
Rais Ruto nakusihi wapelekee mboko wakuheshimu wewe ndo Rais
 
MK254 uko wapi wenzako wapo halo mbaya ?

Nilishangaa wengi mnaunga mikono bandari kuchukuliwa na mwarabu kisa dini, sijui mlirogwa na nani, yaani mtu mzima mwenye ubongo wake anaunga hoja za bandari kuchukuliwa na waarabu kisa mnawaabudu.
Uzombi wa dini huondoa uzalendo kabisa, mtu unakua wa hovyo...hehehe
 
Wewe ulitaka tuwe Mazombi kama nyie kufanya fujo ?
 
Wewe ulitaka tuwe Mazombi kama nyie kufanya fujo ?

Hehehe Ukishaingia kwenye hiyo dini unakua zombi moja kwa moja, yaani akili zinashikiliwa huoni mbele wala nyuma, niliona sehemu mnasema eti kiarabu lugha ya binguni, yaani ujuha.....
Yaani mtu unatetea muarabu achukue bandari kisa unamuabudu...
 
Back
Top Bottom