Kwahyo Uhuru alikua anamchora tu eeeenhNilisema toka mwanzo raila alijichanganya toka march handshake
Ruto na Uhuru hawakukutana semina
Na mimi nilijua uyu babu anazungukwa tuNilisema toka mwanzo raila alijichanganya toka march handshake
Ruto na Uhuru hawakukutana semina
Bwana Harus yuko salon ananisafisha safisha..watu wanasubiria ukumbini.
Acha wogaMungu wa mbinguni ndiye huwaweka wakuu wa Dunia hii kwa kutimiza kusudi lake wakiws wema au wabaya! Taifa likimwasi Mungu hupata watawala wabaya Kama adhabu kwa Taifa Hilo. Taifa likimcha Mungu hupata watawala wema Kama baraka kutoka kwa Mungu! Na wote hao wanastahili kuombewa!!
Kumbe magufuli alikuwa chadema pia? Raila ni mccm mwenzenu faken hellAshashindwa Mchawi yule, hawezi kuwa Rais wa Kenya katika Ulimwengu huu. Wako wajinga wa Chadema walikuwa wanamuunga mkono ndio wajue nao hesabu zao ni Mbovu
Ashashindwa Mchawi yule, hawezi kuwa Rais wa Kenya katika Ulimwengu huu. Wako wajinga wa Chadema walikuwa wanamuunga mkono ndio wajue nao hesabu zao ni Mbovu