lakini si hata cnn walisema kenya wamejiaandaa kwa vita halafu wakaomba msamaha hata hili naona ni porojo tu za bbc kumjaza ujinga raila..
Oooo,,CNN iliomba msamaha baada ya machchezi yao kuto faulu.
Ni kweli ati Raila alisema ati atawasilisha kesi kotini lakini hi
ina julikana kama safe landing.
Huyu bwana alijulikana kama simba wa ma simba wote
Kenya,,kama si Afrika.
Aliwahi kujipiga kifua na kusema kwamba hajawahi
kushindwa na kwahivyo,,,kushindwa haikua katika
kamusi yake.
Hivi ndivyo wengi katika ngome yake walivyo
amini.
Hata vile huyu makamu wa Rais,,,bwana Kalonzo
Musyoka,,,alipoona yakwamba kisisiasa ,,,,alikua
akizama,,alionelea ajishikilie kwa huyu simba
wa masimba na kuchukua kabila lake lote
la wa Kamba.
Hakuna yeyote aliekua ametarajia huyu
simba wa ma simba,,,kuinua mikono na kusema ameshindwa.
Kwani angelipitia wapi,,,baada ya hayo,,????hewani??? sababu
wafuasi wake wangelikasirika sana kwa kuwapotosha na,,, hasira
zao wange muelekezea,,kwake.
Kwahivyo,,kortini ni
safe landing na karata
ambayo aliyo kua amebakisha.
International na local observers,,,,kauli
yao,,,uchanguzi ulikua,,,one of the
best ever in the Kenyan recent history.
Kila mtu amemtoroka na kisiasa ni kuzama
ana zama kwa kasi sana,,pamoja na huyu
vice president,,,kwani,,hata yeye,,ule
msemo,,ati atapitia kati kati,,,,umeisha.
Good bye Stevo,,,the VP.
Sasa,,ni hatamu ya wazee Kenya ku,,retire.
Kibaki huyooooo,,,tumeanza kuona mikokoteni
ikibeba vitu kuto state,,,Nairobi.
Raila huyoooooo,,,,forced retirement.
VP Kalonzo huyo,,,ana zama pamoja
na huyu aliekua,,,the black moses,,
mr Agwambo,,mzee wetu Raila ambaye
bado tunampenda kama atajaribu
kuto tatanisha wakenya.
Amefanya mengi kwa Kenya lakini makosa
yake ni kujenga ukuta na kidogo ku uboromoa.
Kwa Mzee wetu Raila Agwambo Odinga.
"Mzee unaheshimika na wengi lakini uwe makini
kwani sasa ni rahisi sana hiyo heshima wengi
walio kupa,,,,kutoweka hata wewe kujua.
Salimu amri na mwende na Kibaki mkae
chini ya mti na muwe wazee wa kuheshimika
na kua advisers ya wadogo wenu"