Raila Odinga akataa matokeo na ameahidi kufikisha malalamiko Mahakama Kuu.

Raila Odinga akataa matokeo na ameahidi kufikisha malalamiko Mahakama Kuu.

Breaking News::: Raila announces he will go to court to challenge the results...

He has all due rights to challenge the results so long as he has hard and sophisticated evidences to back up his arguments.

Back to our Tanzania: I doubt if Judge Warioba will insert this clause into our prospective new constitution (challenging the presidential results).
 
uchaguzi uliendeshwa na tume HURU, siyo serikali ya Kenya

Kuna jambo moja limenishtua kidogo. Wakati Uhuru anaondoka mahali pale alipopewa cheti cha ushindi...nilimsikia akiwashukuru (Tena kwa Ahsante nyingi nyingi) wasimamizi wa uchaguzi! Mimi nadhani angewapongeza kwa kusimamia uchaguzi na utoaji matokeo badala ya kuwashukuru tena kwa ahsante nyingi. Just curious !
 
Kijakazi inaonyesha si mfatiliaji wa siasa za kenya, ukweli ni kwamba huyo aliye madarakani kama rais hivi sasa anamuunga mkono Kenyata hivyo wajua hata yeye alipata vipi urais wakati alipochukua kwa mara ya pili.

Lakini haitoshi kuna watu wanalalamika kama Odinga ndio alifanya matukio ya vurugu za wenyewe kwa wenyewe uchaguzi uliopita, hili nalo si kweli kwa kuwa si yeye aliye jiweka madarakani ila Mwakibaki hakuna mtu ambaye hafahamu kuwa Odinga alishinda uchaguzi huo ila walichukua nchi kwa nguvu.

Narudi tena kutoa mawazo yangu kwenye siasa za africa na hasa za wenzetu wa kenya, hoja si kushindwa ila unashindwa vipi huwezi kuona karatasi za kura zina peperuka barabarani wakati wa kupiga au kuhesabiwa kura na hata baada ya uchaguzi lakini hili kenya limetokea uchaguzi huu, pia kituo watu 500 wamejiandikisha kupiga kura lakini unakuta waliopiga kura kwenye kituo husika wako 3000.

Mimi na sema mtawala yoyote ambaye ameingia kwa njia ya haramu, basi utawala wake huwa ni washida sana na mifano tunayo hata hapa kwetu nyumbani, hivyo tumaini la wananchi wa kenya kwa kijana litakuwa kama hapa kwetu kwa baba riz one.

Ngoja tuone kwa kuwa utawala wa nchi si kitu kinacho fanyikia chumbani ila ni dhahiri.
 
Peace Peace Peace!!!! This is all I've been hearing from everyone, whichever race they are. But when Wiper spoke and now here, I hear the word violence being uttered carelessly! What is being preached here????
 
He has all due rights to challenge the results so long as he has hard and sophisticated evidences to back up his arguments.

Back to our Tanzania: I doubt if Judge Warioba will insert this clause into our prospective new constitution (challenging the presidential results).

Jaji Warioba hana mamlaka ya kuinsert clauses. Jukumu lake ni kuratibu ukusanyaji wa maoni na kuyafikisha kwa Bunge litakaloteuliwa kwa kazi ya kutunga katiba...
 
Jaji Warioba hana mamlaka ya kuinsert clauses....

Juzi juzi jaji huyu alisikika akisema kuwa hawatachukua maoni yote ...sasa hiyo sialikuwa anamaanisha watachuja maoni yaliyotolewa...hivyo na hili laweza chujwa na kutupwa nje ya katiba mkuu !
 
kama faulo zimeonekana na asipoenda mahakamani atakuwa hawatendei haki wakenya.
 
Raila amechanganyikiwa haamini ndo tatizo la kuahidiwa na waganga ama wale manabii kuwa utashinda lazima adate
 
16113_305497579555645_1518942294_n.jpg

Raila Odinga

about an hour ago


DEMOCRACY ON TRIAL:

Fellow Kenyans;
A very good evening to all of you.
We again stand at a very pivotal moment in our history.

We have created a new Kenya out of the ashes of the one that was nearly destroyed by the terrible violence which followed the tainted election of 2007.

It took five long years to rebuild this beautiful country, and foster reconciliation among those divided and traumatized by the events of 2007-2008.

Our people have passionately embraced an unprecedented new order of reforms and economic vibrancy that will deliver a more prosperous and equitable society, contained in a new Constitution that is the envy of the world.

And so last Monday, on 4th March, we all watched with utter gratitude the massive turnout as Kenyans waited patiently amidst hours-long delays to fulfill their desire to vote for the people they want to lead them.

Despite the hiccups the IEBC experienced in implementing a smooth and transparent run-up to Election Day, Kenyans were convinced that the IEBC would translate their faith in democracy into a completely credible election which would unite the country.

What Kenyans witnessed instead was the failure of virtually every instrument the IEBC had deployed for the election: The poll books, the servers, the telephonic transmission, the BVR – they all failed despite the billions spent on acquiring them.

Two days after the vote, the electronic tallying was discarded and counting begun afresh, manually.

That too turned out to be a flawed exercise in which, among other things, there was massive tampering with the IEBC Final Register of Voters.

Voter registration numbers were reduced in our strongholds and added to Jubilee strongholds!
To give just one example, Ndhiwa constituency had 61,339 voters listed in the IEBC Final Register.

But in the votes and election results that IEBC announced, it indicated Ndhiwa had only 48,535 voters!

At the same time, other constituencies saw the numbers of registered voters rise.

On Friday, the IEBC announced the results of the Presidential vote for Laikipia North constituency.
In the Friday announcement, I had 11,908, and the Jubilee candidate had 11,361.

But the Laikipia North results had already been announced by the IEBC the day before!

The result then was different – I had 11,596 votes while my opponent had 9,707. Where did these extra votes come from?

This is not the time to point to other examples of rampant illegality. That time will come.

There had been a massive public investment in the IEBC to ensure that this first post-2007 election would firmly entrench democracy and the rule of law.

The commissioners criss-crossed the world to study how best Kenyans would have a credible election, which would allow them to support their new President, whether they voted for him or not.

Now, it is clear that the constitutionally sanctioned process of electing a new set of leaders to take us to the next level has been thwarted by another tainted election.

This is not the IEBC that Kenyans and Judge Kriegler envisioned.

This crisis is not just about the IEBC. It is a crisis in the very workings of the faith that Kenyans have placed in their institutions to respect their democratic rights and the rule of law.
It is democracy that is on trial.

As we said repeatedly during the campaign, we would have readily conceded if IEBC had attempted to deliver a reasonably honest election.

Or even if it had addressed the serious concerns the CORD team led by the Vice President formally presented to the commission three days. We only want to lead if Kenyans want us to. We have no other vested interest.

Both Judge Kriegler and ECK chairman, the late Samuel Kivuitu acknowledged that it was not possible to know who won the 2007 election.

We thought this would never happen again. It most regrettably has.

But this time, we have a new independent judiciary in which we in CORD and most Kenyans have faith. It will uphold the rule of law, and we will abide by its decisions.

We will therefore shortly move to court to challenge the outcome that the IEBC announced a few hours ago.

We want to appeal to all Kenyans to respect the rule of law and the Constitution of which they are so proud.

Let the Supreme Court determine whether the result announced by IEBC is a lawful one. We are confident the court will restore the faith of Kenyans in the democratic rule of law.

Any violence now could destroy this nation forever. That would not serve anyone's interest. Please therefore look upon each other as brothers and sisters whose national bond should not be broken.

Thank You and God Bless Kenya


http://www.facebook.com/pages/Raila-Odinga/301058486666221

 
Ana haki ya kuhoji matokeo.
Tatizo la Waafrika, ukimchukia mtu, unachukia na hoja zake hata kama ni za maana. Kwa mfano, Raila anasema kuna vituo ambavyo kura zimekuwa nyingi kuliko watu waliojiandikisha! Tena basi, si kituo kimoja! NI zaidi ya vituo 10. Mawakala wake walitolewa nje. Kura zilijumlishwa na kutangazwa matokeo wakiwa hawakushirikishwa. Je, kukubali upuuzi wa aina hiyo ndiyo kuimarika kwa demokrasia? Ushindi wa hila si ushindi.
Akhsante mkuu Jackton hapo kwenye red,uchache wa mtu utaugundua namna anavyotokota kwenye mambo ya msingi.Demokrasia bado ni somo ambalo halijaeleweka vichwani mwa watu wengi.
 

Raila-Odinga1.jpg



Raila Ondiga

Mgombea wa Urais Kenya Raila Odinga amepinga matokea ya Uchaguzi yaliyotangazwa leo na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo na kuyaita matokeao ya njama yaliyopangwa makusudi kuvuruga uchaguzi wa Urais Kenya.


Kutokana na matokeo yaliotangazwa leo na tume ya uchaguzi ya kumpa ushindi Uhuru Kenyatta aliwashukuru wapiga kura kwa kujitokeza kwa wingi na aliishutumu tume kwa kushindwa kufanya maamuzi ya haki na kufanya madudu katika kuhesabu kura.


Aliendelea kusema serikali imetumia mamilioni kununua vifaa vya kisasa vya kuandikisha na kuhesabia kura lakini cha ajabu vifaa vilishindwa kufanya kazi na kusababisha kura kuhesabiwa upya kitu kilichofanywa kwa makusudi ili kupanga matokeo. Kamwe mimi na wafauasi wangu hatukubaliani na matokea na ili haki itendeke tutaelekea mahakamani na alimalizia kwa kusema mvumilivu ula mbivu kwa hiyo ndugu zangu tuvumilie tusubili maamuzi ya mahakama, asante kwa kunisikiliza.
 
tofauti yake na uhuru ni kubwa sana ata uchaguz ukirudiwa atapigwa chin, infact baadhi ya watu wake hawatapiga kura kwa sababu anaonekana king'ang'aniz wa madaraka na hajal matakwa ya wakenya wenzake.
 
mimi ni mpenzi sana wa odinga lakini naamini wakenya wamemchagua kenyatta kuwa raisi wao na mzee wangu odinga kubali matokeo na nina amini tume ijafanya hujumaa kabisa ni kweli mzee wangu odinga umeshindwa nakutakia maisha mema ya kupumzika na ushauri mzuri achana na siasa tena kapumzike ila nacho amini mtoto wako wa kuzaa uwenda akaja kuwa raisi wa kenya...na kikubwa waambie wajaluo wazaliane kwa wingi kwa sababu ukabila ndio umekuangusha.
wewe si shabiki wa raila ni mnafiki na mzandiki....
 
Kijakazi inaonyesha si mfatiliaji wa siasa za kenya, ukweli ni kwamba huyo aliye madarakani kama rais hivi sasa anamuunga mkono Kenyata hivyo wajua hata yeye alipata vipi urais wakati alipochukua kwa mara ya pili.

Lakini haitoshi kuna watu wanalalamika kama Odinga ndio alifanya matukio ya vurugu za wenyewe kwa wenyewe uchaguzi uliopita, hili nalo si kweli kwa kuwa si yeye aliye jiweka madarakani ila Mwakibaki hakuna mtu ambaye hafahamu kuwa Odinga alishinda uchaguzi huo ila walichukua nchi kwa nguvu.

Narudi tena kutoa mawazo yangu kwenye siasa za africa na hasa za wenzetu wa kenya, hoja si kushindwa ila unashindwa vipi huwezi kuona karatasi za kura zina peperuka barabarani wakati wa kupiga au kuhesabiwa kura na hata baada ya uchaguzi lakini hili kenya limetokea uchaguzi huu, pia kituo watu 500 wamejiandikisha kupiga kura lakini unakuta waliopiga kura kwenye kituo husika wako 3000.

Mimi na sema mtawala yoyote ambaye ameingia kwa njia ya haramu, basi utawala wake huwa ni washida sana na mifano tunayo hata hapa kwetu nyumbani, hivyo tumaini la wananchi wa kenya kwa kijana litakuwa kama hapa kwetu kwa baba riz one.

Ngoja tuone kwa kuwa utawala wa nchi si kitu kinacho fanyikia chumbani ila ni dhahiri.

which station is this with 500 where 3000 voted?
Ama ni pang'ang'a tu?
 
Uwezekano kwamba haki haikutendeka unaweza kuwepo ila vielelezo ni muhimu sana.....
Kweli uhuru amepita lakini je hakutumia njia zisizofaa kupata kura? Huyo bwana twajua ni miongoni mwa matajiri wakubwa africa, Je hajanunua ushindi alionao kwa kupitia tume?
Mimi naona kama Raila ana uthibitisho aende mbele ya sheria ili mahakama ichukue mkondo wake (kama haitanunuliwa na yenyewe)
 
tofauti yake na uhuru ni kubwa sana ata uchaguz ukirudiwa atapigwa chin, infact baadhi ya watu wake hawatapiga kura kwa sababu anaonekana king'ang'aniz wa madaraka na hajal matakwa ya wakenya wenzake.
mkuu tofauti ya kura ni kubwa sana kweli....ila je? hiyo tofauti ni ya haki au ndio yale mambo yetu na kina mzee wa ndovu yamepita hapo??
Ndio maana nasema kama ushahidi upo kuna umuhimu wa raila kudai haki na demokrasia ya kweli ila kama haipo akubali
 
It is rather a question of whether or not there will be sufficient corroborative sources of evidence. A 0.08% votes percentage can easily be proven incorrect. It is up to Odinga and his team to prove to the judiciary that there indeed was malpractice.
 
Back
Top Bottom