Raila Odinga akataa matokeo na ameahidi kufikisha malalamiko Mahakama Kuu.

Raila Odinga akataa matokeo na ameahidi kufikisha malalamiko Mahakama Kuu.

Nimempenda kwa kusisitizia mashabiki wake waendeleze amani na utulivu-kwenda mahakamani nadhani ni haki yake kwa sababu katiba inamruhusu, cha kuomba ni akubali maamuzi ya mahakama!!

Ameuliza hilo swali akasema atakubali maamuzi ya mahakama...
 
Raila akubali kushindwa.
Si ni yeye alisema engineer wao bingwa amegundua uchakachuaji wa kura kwa software, waka resort kwa hardware kama alivyoshauri napo bao la kisigino. Atulie akubali, kama Al go.
 
kama ni wewe umetafsiri umeingia chaka...na kama ni yeye katafsiri kaingia chaka...ujumbe wa matini chanzi na lengwa ni tofauti ingawa unakaribia kufanana


What I did ni kufuata aliyo sema in English na Swahili. Hakuna hata neno moja hapo ambalo ni langu.

Thanks kwa maono.

Anyways he is going to Court to sue and let the judicial decide for him. This is his third time trying to be the President of Kenya na zote ameshindwa.
 
Am happy he has proved his dady's Novel NOT YET UHURU and the election outcome has revealed that in Kenya Not yet Uhuru since DEMOCRACY IS ON TRIAL.

Mimi hizi kauli not yet uhuru, au kama ndugu zetu wa chadema wanavyosema wanataka kuikomboa nchi, huwa naona wanadownplay jitihada za wazee walipigania uhuru. Nadhani bora watafute lugha nyingine ya kuhamasisha watu...
 
Raila akubali kushindwa.
Si ni yeye alisema engineer wao bingwa amegundua uchakachuaji wa kura kwa software, waka resort kwa hardware kama alivyoshauri napo bao la kisigino. Atulie akubali, kama Al go.

You are correct, lakini si dhani kama ana hizo kumbukumbu. It is funny though
 
Nilitegeme hii mambo kuwa hivi, maana jamaa alisha jipa Urais wa Kenya hata kabla ya Uhaguzi. Shame on him
 
Hivi ni kwanini matokeo ya urais kwa nhi za Afrika ni vigumu sana kukubalika na mgombeaji aliyeshindwa uchaguzi?
 
Hivi ni kwanini matokeo ya urais kwa nhi za Afrika ni vigumu sana kukubalika na mgombeaji aliyeshindwa uchaguzi?


Mkuu huwa teyari watu wamesha toa ahadi, sasa wanaposhindwa inauma sana. Maana mikopo na pesa walizo omba zinawauma sana.

Natanguliza pole kwa Mheshimiwa Raila, hii ni mara yake ya Tatu kujaribu kuwa Rais lakini inaonekana kuwa bado haelewi kuwa asiye kubali kushindwa si mshindani. Mara ya tatu sasa ameshindwa.
 
Ana haki ya kuhoji matokeo. Tatizo la Waafrika, ukimchukia mtu, unachukia na hoja zake hata kama ni za maana. Kwa mfano, Raila anasema kuna vituo ambavyo kura zimekuwa nyingi kuliko watu waliojiandikisha! Tena basi, si kituo kimoja! NI zaidi ya vituo 10. Mawakala wake walitolewa nje. Kura zilijumlishwa na kutangazwa matokeo wakiwa hawakushirikishwa. Je, kukubali upuuzi wa aina hiyo ndiyo kuimarika kwa demokrasia? Ushindi wa hila si ushindi.
 
64796_10151154410232609_766468530_n.jpg
 
Honorable Odinga grown up do concede. You tried three times and failed.
 
Back
Top Bottom