ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Nimempenda kwa kusisitizia mashabiki wake waendeleze amani na utulivu-kwenda mahakamani nadhani ni haki yake kwa sababu katiba inamruhusu, cha kuomba ni akubali maamuzi ya mahakama!!
Ameuliza hilo swali akasema atakubali maamuzi ya mahakama...