Raila Odinga akataa matokeo na ameahidi kufikisha malalamiko Mahakama Kuu.

Raila Odinga akataa matokeo na ameahidi kufikisha malalamiko Mahakama Kuu.

Mzee R. Odinga angekubali tu kiungwana kuwa ameshindwa na yupo teyari kufanya kaz na Kenyatta, na hii ndo changamoto ya demokrasia kwamba wengi wape ila haiangalii wengi hao ni kina nani!
 
Hapo wanaongea wamarekani na waingereza si yeye jamani, mumsamehe bure mzee wa watu, like father like son, Uraisi atausikia kwenye Radio tu...jamani huruma....
 
1. Thanks those who voted for me.
2. It took 5 long years to rebuild this country from prior election violence of 2007.
3. Kenyans witnessed the failure of IEBC in its entirety.
4. IEBC tallying was tampered.
5. The figures are incorrect from what they have.
6. It is democracy that is in trial.
7. The serious concerns were not addressed despite VP informed IEBC of irregularities.
8. We will move to Court to challenge the outcome.
9. Let the Supreme Court determine the result that announce by IEBC is valid of not. But we will abide in the decisions of Court.

In Swahili:

Kwanza kuwashukuru Wakenya kujitokeza kwa wingi. Natoa shukrani kwa wale wakenya walio tupigia kura mimi na mgombea mwenzangu Kalonzo M.

Tulitalajiria kwambo tume ya uchaguzi tuliyo unda ilikuwa tofauti na ile ya 2007, lakini hii tume imefanya makosa yale yale ya 2007. Tumona mambo meni sana yalifanyika kinyume paomoja na kuharibika kwa vifaa vya kisasa na kufanya kura kienyeji.

IECB walipanga kufanya hivyo ili matokea yabadilishwe hapa na pale kabla ya kufika katika ukumbi wa BOMAS.

hivyo hatutambui uamuzi wa Tume ya Uchaguzi ulio tangazwa leo.

Tutaenda Mbele ya Mhakama na tuna hakika tutasikilizwa na tuta heshimu uamuzi wa Mhakama yetu. Tuwe watulivu na tuvumilie na kutafanya mambo haya kwa haraka kabisa.

Hatutaki fuj, ghasia na uharibifu wa mali

Asanteni na Mungu Ibariki Kenya

kama ni wewe umetafsiri umeingia chaka...na kama ni yeye katafsiri kaingia chaka...ujumbe wa matini chanzi na lengwa ni tofauti ingawa unakaribia kufanana
 
The agony of defeat.....

I have come to a conclusion that Raila Odinga is not a Presidential Material at all. I was expecting him to concede defeat, but he has done the opposite, he want to go to Court. However, he has requested his supporters to be calm and maintain peace. One would wonder how can he distrust IEBC, the commission he participated to form?

Tiba
 
kama ni wewe umetafsiri umeingia chaka...na kama ni yeye katafsiri kaingia chaka...ujumbe wa matini chanzi na lengwa ni tofauti ingawa unakaribia kufanana

Nimesikiliza hotuba pia, ni yeye Odinga kasema hayo in Swahili.

Anyways, ataingia Mahakamani kutafuta Sheria imsaidie.
 
Am happy he has proved his dady's Novel NOT YET UHURU and the election outcome has revealed that in Kenya Not yet Uhuru since DEMOCRACY IS ON TRIAL.
 
1. Thanks those who voted for me.
2. It took 5 long years to rebuild this country from prior election violence of 2007.
3. Kenyans witnessed the failure of IEBC in its entirety.
4. IEBC tallying was tampered.
5. The figures are incorrect from what they have.
6. It is democracy that is in trial.
7. The serious concerns were not addressed despite VP informed IEBC of irregularities.
8. We will move to Court to challenge the outcome.
9. Let the Supreme Court determine the result that announce by IEBC is valid of not. But we will abide in the decisions of Court.

In Swahili:

Kwanza kuwashukuru Wakenya kujitokeza kwa wingi. Natoa shukrani kwa wale wakenya walio tupigia kura mimi na mgombea mwenzangu Kalonzo M.

Tulitalajiria kwambo tume ya uchaguzi tuliyo unda ilikuwa tofauti na ile ya 2007, lakini hii tume imefanya makosa yale yale ya 2007. Tumeona mambo mengi sana yalifanyika kinyume pamoja na kuharibika kwa vifaa vya kisasa na kufanya kura kienyeji.

IECB walipanga kufanya hivyo ili matokea yabadilishwe hapa na pale kabla ya kufika katika ukumbi wa BOMAS.

hivyo hatutambui uamuzi wa Tume ya Uchaguzi ulio tangazwa leo.

Tutaenda Mbele ya Mhakama na tuna hakika tutasikilizwa na tuta heshimu uamuzi wa Mhakama yetu. Tuwe watulivu na tuvumilie na kutafanya mambo haya kwa haraka kabisa.

Hatutaki fujo, ghasia na uharibifu wa mali

Asanteni na Mungu Ibariki Kenya

Thanks kwa break down ya hotuba ya Mheshimiwa Raila Odinga.
 
alisababisha fujo 2007 raia wasio na hatia wakafa.akaonjeshwa keki na kibaki hakuikataa akala na huku jamii kubwa wamekufa.this time akae kando wakenya si wapuuzi ka yeye.ameshindwa mbaya hana jipya.saa hii awe mtazamaji tu.
 
I expected this and let us see what the Supreme Court will do.
 
Nimempenda kwa kusisitizia mashabiki wake waendeleze amani na utulivu-kwenda mahakamani nadhani ni haki yake kwa sababu katiba inamruhusu, cha kuomba ni akubali maamuzi ya mahakama!!
 
Nimesikiliza hotuba pia, ni yeye Odinga kasema hayo in Swahili.

Anyways, ataingia Mahakamani kutafuta Sheria imsaidie.

duuh...basi sio bilingual mzuri,yaani ni vitu tofauti ila on top of all mi namsubiria mahakamani tujue mbivu na mbichi
 
Mwacheni bwana aende ndo maana katiba imeruhusu kama ushaidi upo itareveal na kama hamna Uhuru atalead ..sioni iko shida
 
Back
Top Bottom