Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Hii ndiyo laana ya Afrika. Hatuheshim matakwa ya raia wala misingi ya utawala tunaojiwekea. Ilikuwaje System mpya, iliyogharim mabillion, ikafa ghafla? Kibaki ndiye mwenye vyombo vya dola,mtu aliye na uchu madaraka wa kupindukia , aliyeapishwa usiku, hawezi kushindwa kutumia machinery kuchakachua matokeo.
Wazungu ndio maana wanatudharau sana. Siku zote wanatuchukulia kama watu wenye taahila ya akili na mtindio wa ubongo. Afrika pamoja na kuwa na watu zaidi ya milioni 600 lakini haina nguvu UN, haina VETO UN wala haiaminiki. ipo ipo tu na biashara hii ya kuchakachua matokeo, kukuza umasikini na kutukuza upumbavu. hakuna maendeleo ya teknolojia, elimu inazidi kushuka chini. Kwasababu ya watu wake kukata tamaa wana-resort kwenye ngono. Hivyo afrika linabakia kuwa bara lililo duni sana lakini lenye kipaji cha ngono.
kwa biashara hii ya ukabila na uchakachuaji, kenya haiwezi kuwa na heshima hata kidogo na wala haiwezi kuaminika. Hii zana ya East Africa community itakufa tu. Kama Mkikuyu hawezi kuwaheshimu wakenya wengine awezaje kuwaheshim waganda na watanzania?
lakini si hata cnn walisema kenya wamejiaandaa kwa vita halafu wakaomba msamaha hata hili naona ni porojo tu za bbc kumjaza ujinga raila..
Muulize mwalimu wako wa hesabuHivi wanaposema apate kura 50%+1. hyo Plus one ina maana gani?
mkuu tofauti ya kura ni kubwa sana kweli....ila je? hiyo tofauti ni ya haki au ndio yale mambo yetu na kina mzee wa ndovu yamepita hapo??
Ndio maana nasema kama ushahidi upo kuna umuhimu wa raila kudai haki na demokrasia ya kweli ila kama haipo akubali
It is rather a question of whether or not there will be sufficient corroborative sources of evidence. A 0.08% votes percentage can easily be proven incorrect. It is up to Odinga and his team to prove to the judiciary that there indeed was malpractice.
Sihitaji kwenda Kenya kujifunza chochote kwa maana walichonacho ni copy paste ya mfumo unaotumiwa na nchi nyingi Duniani!
Ninachoongelea mimi sio u-haki wake wa Kikatiba kwenda Mahakamni, ninachoongelea ni kwamba ni jambo la kushangaza kwenda Mahamakani kulalamikia mfumo ambao wewe ndio kiongozi wake, hayo yote anayoyalalamikia yeye ndio alipaswa ahakikishe hayatokei, maana ya Tume huru sio kwamba wako juu ya Sheria za nchi, ni lazima waachwe wafanye kazi zao kwa Uhuru ndio, sasa ni nani anayesimamia hayo? Tume haina Jeshi wala Polisi au usalama wa Taifa, na ndio kazi ya Serikali!
Narudia sijasema hana haki ya kikatiba kwenda Mahakamani, kila mtu ana hiyo haki, ila ni jambo tu ajabu kwa Mkuu wa Serikali kwenda kulalamika mambo ambayo yeye ndio alipaswa kuhakikisha hata kabla ya uchaguzi hayatokei, ni hilo tu, na hayo ni maoni wala Sio hukumu, hivyo usiwe na jazba!
Kijakazi,usibwabwaje Raila amejieleza vizuri tu,na akatoa mpaka na mifano sasa wewe kusema kwamba alipaswa kuhakikisha kwenye uchaguzi hayatokei hayo,ulitaka afanye,wakati tume wanakwambia mitambo imefeli,ulitaka Raila aite mafundi,au kwani yeye ndiye aliyenunua hiyo mitambo???Tume ilitaka kuwezeshwa ikapewa kila kitu imewepo vifaa vya kisasa kabisa,wakaacha vya kisasa walirudia vya kienyeji ili waweze kuchachua kama CCM wanayo fanya.....RAILA kwenda mahakani ni haki yake kama katiba ya Kenya inavyo sema...Go Raila... go....
"Among other things, they are questioning the one million voters who voted only for president and no other position," said a close aide to Odinga, adding that the appeal would likely be filed at Kenya's highest court on Wednesday.Hakuna round ys pili kwa maana mshindi anatakiwa awe amepats angalau 50% ya kura + kura moja na awe ameshinda country votes 24 hivyo vyote ameshapita.
ni kubwa kwa sababu 1% ilikuwa inaenda na kura lak1 na kura lak1 n kama vituo 2 vikubwa so lak8 na ushee n vituo kama 17 so how much jamaa kaiba kila kituo? thats 1. second jamaa zake wa vituon wameshasain zile form kukubaliana na matokeo vituon so?
#kumbuka alishasema kabla ya uchaguz ya kwamba kuna mpango wa kumwibia, alipobanwa akasema hana uhakika
#mara bada ya uchaguz gap ilipohit lak5 akasema computer inadanganya. mara machine zikafa so who hacked them?
#kuhesab manual gap ilipo hit lak3 kalonzo anasema manual systen sio ya kikatiba
#chief agent wake alishakubali manual system
iv huon n story ya mfa maji au tim iliyofungwa then wanasingizia uwanja ulikuwa na tope kamakwamba hao wengine walikuwa wanachezea mbinguni . he has lost atulie kama ananyolewa
Fursa bado zipo nyingi sana ndani na nje ya Kenya kwa Mh.RAILA ODINGA.
Cha msingi kwake ni kuutafakari upya ushindi wa Mh.UHURU KENYATA na
kumpongeza kwani haukuwa ushindi wake bali ni wa Kenya yote kwa kuwa
umeionesha dunia jinsi gani wakenya walivyo wamoja ukiachilia
mbali tofauti zao zote.