Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Zoruba×Angeingia kwanza ndo awambie mbona wataogopa shughuli ya magu haikua yakitoto wapinzani wajiandae kwa zoruba
Dhoruba✓
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zoruba×Angeingia kwanza ndo awambie mbona wataogopa shughuli ya magu haikua yakitoto wapinzani wajiandae kwa zoruba
Yaani mnaamini vitu vya uongo, Dkt Magufuli hakuwahi kupoteza watu ila genge hili la waliomuua walipoteza watu na mpaka leo wanaendelea kupoteza na kuua ila vyombo vya habari kwa sababu ni vyao hawatoi ripoti. Ukweli ulishajulikana enyi wahuniAjifunze yote na kupoteza watu.
Maoni haya kutoka kwako ni baada ya Raila ku mquote Magufuli ? Tuna kazi kubwa ya kufanya kwenye fikra zetu.Raila bwana kaingizwa cha kike na akina Uhuru sasa hivi kura ataibiwa na hatakuwa na ubavu wa kuwaingiza wajaluo barabarani kuandamana
Mbona design unateseka jiwe likisifiwa. Chill, Ameshakufa.mkenya yupi mjinga amkubali magufuli wakati walimtukana alipochoma vifaranga vya kuku namanga
Unabwabwaja budaOdinga ni kubwa jinga fulani lililobahatika kupendwa na wajaluo wenzie, Kenyans sidhani kama watamchagua huyu.
Mhuni Kenyata na wahuni wenzie wamemuingiza King naye kajaa mzima anapigwa za mbavu kwishney.
Kama wakijilengesha acha awafyatue tu...aige pia kupiga MARISASI wapinzani wake.
Kama wakijilengesha acha awafyatulie tu.
Sijui...Na yeye si wanadai kauwawa.
Sijui.
Kama unaamini hivyo shauri yako. Tusilazimishane...Msoga Gang hawakumtenda?
what is wrong with Baba? Mbona kama anawezahuyo mzee anapelekeshwa na ruto mpaka anajamba na bado 9-8-2022 lazima ajikojolee mpuuz huyo.
Naona handles zote Ni Lema, Chadema kwa maigizoHaya ndio majibu anayopewa
View attachment 2313127
Magufuli kafa mkuu...😂😂Naona handles zote Ni Lema, Chadema kwa maigizo