#COVID19 Raila Odinga akutwa na COVID-19

#COVID19 Raila Odinga akutwa na COVID-19

Kwa
Ukiangalia Habari za Kenya mida hii ni kwamba Raila Odinga umepatikana na Covid-19.

Nilicho jifunza wao wako wazi kabisa, sielewi kwa nini Tanzania huu ugonjwa unachukuliwa kama Gonorrhoea.

Huu ugonjwa ni ugonjwa wa aibu kwa Tanzania.
===

ODM leader Raila Odinga has tested positive for COVID-19, a statement from his doctor revealed on Thursday night.

Consultant neurosurgeon David Oluoch-Olunya said he is responding well to treatment at the Nairobi Hospital.

“Following my letter of the 10th of March 2021 we have confirmed that Rt. Hon. Odinga has SARS-2 COVID 19. We are continuing to monitor his progress,” the statement reads.

The ODM leader was admitted to hospital on March 9 after he complained of general fatigue and body aches.

Source: Citizen
Kwani hajachanjwa sindano?
 
S
Bongo huu ugonjwa ni wa aibu
Sasa alivyotangazwa ndo kapona corona au wewe uliyejua unamsaidia nini kuhusu huo ugonjwa wake?
Sana sana ni kuzungunka mtaani unatangaza kuwa ana corona bila msaada.
Umbea mtupu.

Maalim sefu alijitangaza ana corona na kujifungia, je nyie mlimsaidia nini ili kuzuia kifo chake?
 
Augue pole, atapata nafuu tu, hongera sana kwa viongozi wetu kwa kutofanya ujinga wa kuficha hiki kitu, kila mmoja akiumwa inatangazwa moja kwa moja bila chenga. Huu sio ugonjwa wa aibu.
 
Nilicho jifunza wao wako wazi kabisa, sielewi kwa nini Tanzania huu ugonjwa unachukuliwa kama Gonorrhoea.

Huu ugonjwa ni ugonjwa wa aibu kwa Tanzania.
Kwa nini ushindwe kujua sababu, mbona ni rahisi sana?

Wao walikubali kuwepo kwa ugonjwa huo, sisi tulitangaza hatuna ugonjwa huo. Hiyo ni sababu moja. Zipo nyingine nyingi tu zinazowatofautisha wao na sisi; sasa sijui wewe ugumu unauona wapi?
 
" Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Kenya Raila Omollo Odinga yuko Hospitalini nchini Kenya akipatiwa Matibabu baada ya Kugundulika rasmi kuwa na Maambukizi ya Corona "
 
Hivi mngali mkiota bado wakati kumeshakucha!??? Kosa kubwa atakalofanya mtu yeyote ni kuyaamini maneno ya Mr Mzungu eikeiei Nomonolesi!!!
 
Hawa wanataka wapewe mikopo na wazungu. Sisi malaria ndiyo ugonjwa unaotusumbua siyo mafua ya wazungu!
Umesahau hata hiyo simu ya rununu/computer uliyotumia kuandika huu upupu ni mkopo ya mzungu?
 
Nampongeza kwa dhati kabisa Mh. Raila Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhui ya Kenya kwa kuwa muwazi kuhusu Afya.

Siku ya Jumatatu alikwenda Nairobi Hospital kwa uchunguzi wa Afya. Madaktari walichukua vipimo kadhaa na ndipo jana
akagundulika ni muathirika wa ile kitu - Covid-19.

Aliwaruhusu madaktari wake kuutangazia umma kwamba anaugua Covid.

Pia japo mwaka umepita, nimpogneze pia Mh. Boris Johnson, Waziri Mkuu wa Uingereza. Alipougua Covid mwaka jana aumma ulitangaziwa.

Simsahau pia Rais wa makeke aliyetoka madarakani huko USA - Trump. Naye alipata hako kakitu. Lakini aliuambia umma kwamba amepigwa.

Si jambo la ajabu jamani kupigwa na hii kitu. Tuwe wakweli tunapopigwa!
 
Acha upumbavu ugonjwa ni siri ya mtu na tabibu wake,labda aamue kutangaza mwenyewe,alafu umesema waziri Mkuu mstaafu wa Kenya?
 
Back
Top Bottom