Raila Odinga anaelekea kushinda vita dhidi ya corona iliyomuathiri, hongera viongozi wetu kwa kuweka kila kitu wazi

Raila Odinga anaelekea kushinda vita dhidi ya corona iliyomuathiri, hongera viongozi wetu kwa kuweka kila kitu wazi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huu ni mfano mzuri sana kiuongozi, corona sio gonjwa la aibu hadi ufiche fiche mara sijui changamoto la kupumua na pumba zote....

ODM leader Raila Odinga is out of danger, having tested negative for Covid-19.
The news was announced on Wednesday, March 31, by the ODM party on social media stating; "We are happy our Party Leader Raila Odinga has tested negative and is out of danger of Covid-19. We thank God for that. God Bless him, God Bless Kenya."

Odinga was taken ill on Wednesday, March 10, and was admitted to the Nairobi Hospital. Days later, he make his Covid-19 results public, stating that he had tested positive.
He went into isolation and has been going for check ups from time to time.
More to follow...
 
Pitia na hapa

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Pitia na hapa

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Huo ni uzi tofauti na taarifa tofauti, humu tunajadili namna viongozi wetu wamekua na ujasiri wa kuweka wazi kila wanapoumwa hili gonjwa ambalo kwenu huko mnaendelea kufukia vichwa ardhini licha ya misiba na vifo hadi kwa viongozi kwenye ngazi za juu kabisa.
 
hongera sana mheshimiwa kwa kuwa mkweli na m'wazi. wapo wengi waliojitokeza kama wewe bila kufichaficha kama vile D. Trump, BoJo, M. Arteta na wengine wengi na hatua za haraka ziliweza kuchukuliwa ili kuokoa maisha yao.
 
Cha ajabu kwa bibi yake Obama mmeshindwa kutangaza naye alikufa kwa CORONA.
 
hongera sana mheshimiwa kwa kuwa mkweli na m'wazi. wapo wengi waliojitokeza kama wewe bila kufichaficha kama vile D. Trump, BoJo, M. Arteta na wengine wengi na hatua za haraka ziliweza kuchukuliwa ili kuokoa maisha yao.

Tatizo lao ni kiburi na ukaidi, hatari sana kuongozwa kihivyo.
 
Huo ni uzi tofauti na taarifa tofauti, humu tunajadili namna viongozi wetu wamekua na ujasiri wa kuweka wazi kila wanapoumwa hili gonjwa ambalo kwenu huko mnaendelea kufukia vichwa ardhini licha ya misiba na vifo hadi kwa viongozi kwenye ngazi za juu kabisa.

😡😡😡😡😡
 
Si ilisemekana ilikua uzushi tu ili aende hosp kumuona Hayati
 
Back
Top Bottom