chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Natumia fursa hii kuwapongeza wakenya,
Raila ni pandikizi la Tanzania, msithubutu kumpa urais, ogopeni Rais anayetafuta urais kutokea nje ya Kenya
Raila alikuwa lazima kawekewa masharti ya kuihujumu Kenya ili asaidiwe katika Urais wake
Hongera sana wakenya, huyu Raila ni pandikizi la Tanzania
Mwaka 2016 kabla ya uchaguzi wakenya alikuwa analala na kuamka Tanzania, anapanga mipango ya kuhujumu Kenya, anataka kuiuza Kenya kwa majirani
James Orengo aliwahi kuhifadhiwa na Tanzania enzi ya Nyerere, huyo hakuna shaka ni pandikizi mwenzie
Tanzania imetapakaza watu wake kila nchi ukanda huu, Kenya ndio imekuwa ngumu, na Raila ndio alikuwa kapewa kazi, tangu uhuru wa Kenya Tanzania imeshindwa kuinfluence siasa ya Kenya.
Sasa pandikizi Raila naye anazeeka, labda tutafute mwingine, Kalonzo kamkimbia baada ya kumjua ni pandikizi.