Raila Odinga angepewa Urais angekuwa pandikizi la Tanzania, Kenya ingekuwa koloni la Tanzania

Raila Odinga angepewa Urais angekuwa pandikizi la Tanzania, Kenya ingekuwa koloni la Tanzania

Ngoja muone hii wiki mko hapa!!!

Ama mnaenda mahali??..Moi alishindwa kuweza Raila

Kibaki aliekuwa Deputy president wa moi 1980s alisema Raila kuitosha multi partysm ni impossible ....

In 1992 when Raila won for multi partysm Kibaki aliji uzulu Kutoka chama cha Moi na kuunda chama chake Siku hyo hyo .m...Moi used to torture people kuke nyayo house

Moi arrested Raila for 9yrs


Uhuru ni cake walk ngojeni mtaona!!
hizi sifa zote kwa Raila n yet urahisi hajaupata?...just like Matiba in 1997 alivyosusia uchaguzi na yeye kafuata mkondo ule ule...
 
natumia fursa hii kuwapongeza wakenya,

Raila ni pandikizi la Tanzania,msithubutu kumpa urais,ogopeni Rais anayetafuta urais kutokea nje ya kenya

Raila alikuwa lazima kawekewa masharti ya kuihujumu kenya ili asaidiwe katika Urais wake

hongera sana wakenya,huyu Raila ni pandikizi la Tanzania

mwaka 2016 kabla ya uchaguzi wakenya alikuwa analala na kuamka Tanzania,anapanga mipango ya kuhujumu kenya,anataka kuiuza kenya kwa majirani

james orengo aliwahi kuhifadhiwa na tanzania enzi ya nyerere,huyo hakuna shaka ni pandikizi mwenzie

tanzania imetapakaza watu wake kila nchi ukanda huu,,kenya ndio imekuwa ngumu,na raila. ndio alikuwa kapewa kazi,tangu uhuru wa kenya tanzania imeshindwa kuinfluence siasa ya kenya

sasa pandikizi raila naye anazeeka,labda tutafute mwingine,kalonzo kamkimbia baada ya kumjua ni pandikizi

Hizi thread za baada ya kushtua mambo ya Jamaica mtuhurumie mbavu zetu jamani
 
Tena wasimpe kabsa huyu jamaa nae anataka kuiga ka udikteta uchwara ka tz
 
huu uzi utakua umeanzishwa na mwana chadema...mlijifanya kumgeuka raila mkachagua upande wa kuwafanya muonekane wajinga...huu uchaguzi mnaukubali afu ule wa jecha mnaukataa yaan nyie mnasikitisha sana
umerogwa
 
Cyokweli mtoa mada ucongee ucchokijua, raila hakuanza leo harakat zake ni zaid y miaka ishirin iliyopita, so thus time passed alikuwa pandikizo pia au cz now days anapata support n kwenu.
 
Cyokweli mtoa mada ucongee ucchokijua, raila hakuanza leo harakat zake ni zaid y miaka ishirin iliyopita, so thus time passed alikuwa pandikizo pia au cz now days anapata support n zuzu wenu,
alikuwa anakesha Tanzania kutafuta nini kama sio kupewa maelekezo ya jinsi ya kutawala kenya?
 
Watanzania wengi mbumbumbu wa siasa za Kenya. Raila ndio baba wa demokrasia Kenya. Mchango wake kupigania demokrasia Kenya utatambuliwa milele daima.
 
Watanzania wengi mbumbumbu wa siasa za Kenya. Raila ndio baba wa demokrasia Kenya. Mchango wake kupigania demokrasia Kenya utatambuliwa milele daima.

Hakupigania demokrasia hata kidogo bali alirukia bandwagon na baadaye akachukua credit for it.

Baba sasa amezeeka wacha aende bondo akatulize huko kama wakongwe wenzake kina Moi,Kibaki na Musikhari Kombo.
 
Watanzania wengi mbumbumbu wa siasa za Kenya. Raila ndio baba wa demokrasia Kenya. Mchango wake kupigania demokrasia Kenya utatambuliwa milele daima.
Raila hana historia yoyote ya kutukuka,aliandaa waganga wa kumroga kenyatta lakini wakachemka
 
[emoji23][emoji23] ndio nashangaa kwasababu

Uhuru bado hajatangazwa mshindi

Wafula Chebukati anaweza kata kumtangaza na ahepe kenya kama akombe
Pili

Hata akitangazwa

Kuna kesi kortini tayari ilio funguliwa jana kuukata ushindi wake mara ya pili!!

Na wakati huu kuna evidence kibao kila mahali

Including 3.7mn people nyanza ambao hawakupiga kura kwakua kulikua na vita

Katiba yasema lazima all constituency zipige kura!!

....

Istoshe Raila atajiapisha serikali
Ya kenya haiwezi tumia Jeshi kwa vitu vya ndani ya nchi polisi pekee Wakianza kutumia jeshi kenya itajigawa ....so

Kuna options kibao


KAMA MNADHANI UHURU AMESHINDA

AMA ATAKUWA RAIS MTASHANGAAAAA
Unaota ndoto Za mchana. Huyo Raila wenu keshalewa uraisi atausikia redioni !
 
Back
Top Bottom