Raila Odinga angepewa Urais angekuwa pandikizi la Tanzania, Kenya ingekuwa koloni la Tanzania

Raila Odinga angepewa Urais angekuwa pandikizi la Tanzania, Kenya ingekuwa koloni la Tanzania

Nafikiri sasa mtakuwa mmeelewa na Shein ni Rais aliyeshinda kihalali kama Uhuru. Maana mkiukataa ule mkakubali huu ni vitukooo
 
Ngoja muone hii wiki mko hapa!!!

Ama mnaenda mahali??..Moi alishindwa kuweza Raila

Kibaki aliekuwa Deputy president wa moi 1980s alisema Raila kuitosha multi partysm ni impossible ....

In 1992 when Raila won for multi partysm Kibaki aliji uzulu na kuunda chama chake moi used to torture people kuke nyayo house

Moi arrested Raila for 9yrs

Uhuru ni cake walk ngojeni mtaona!!
wajaluo wanajivunia uchawi na uganga,kila siku anabeba ndoo za ulozi analeta tanzania,tutamsachi airport mbele ya waandishi wa habari
 
wajaluo wanavinia uchawi na uganga,kila siku anabeba ndoo za ulozi analeta tanzania,tutamsachi airport mbele ya waandishi wa habari
Again mm sio mjaluo

And again
Of the 290 constituencies za Kenya zilizo piga Kura

167 of them recorded a voter turnout less than 42%

Sio maandishi yangu bali
Standard Newspaper

Imepublish All results kwa page 4 gazetti ya leo....

Nenda uangalie kama ni wajaluo pekee yao walio kataa kupiga kura

Mitanzania kujifanya kujua issue ya Kenya ni tiring sana sana when they are jusg bubbling stupidity!!
 
Maraga kapiga kura,ameona Raila mpuuzi
 
Mama yangu ametokea wapi??

Umeona mkenya yeyote akitusi mama ya mtu hapa despite the fact that we arr disagreeing miTZ mnakuwanga na Utoto mwingi matusi ndio mumejaz kwa mdomo !!!

Mea akili
Hata mm mkenya lkn unachofanya ni uchochezi.
 
kweli kabisa,akipata 25'percent ya kaunti kadhaa tu,na hizo kaunti zilizogoma ni chache tu,tena waliamua wenyewe hawakunyimwa haki hiyo
Mkuu kuna watu vilaza sana...mbona iyo ni simpo logic hakuna kitu 100% eti kaunti zote zipige ndo qoram itimie.....
ndo mana mara nyingi wanasema ili jambo fulani lipitishwe lazima say theluthi mbili (2/3) itimie...mana wanajua fika hakunaga 100%
 
raila anatumika kuvuruga kenya
 
[emoji23][emoji23] ndio nashangaa kwasababu

Uhuru bado hajatangazwa mshindi

Wafula Chebukati anaweza kata kumtangaza na ahepe kenya kama akombe
Pili

Hata akitangazwa

Kuna kesi kortini tayari ilio funguliwa jana kuukata ushindi wake mara ya pili!!

Na wakati huu kuna evidence kibao kila mahali

Including 3.7mn people nyanza ambao hawakupiga kura kwakua kulikua na vita

Katiba yasema lazima all constituency zipige kura!!

....

Istoshe Raila atajiapisha serikali
Ya kenya haiwezi tumia Jeshi kwa vitu vya ndani ya nchi polisi pekee Wakianza kutumia jeshi kenya itajigawa ....so

Kuna options kibao

KAMA MNADHANI UHURU AMESHINDA

AMA ATAKUWA RAIS MTASHANGAAAAA
Mbna unawapa matumaini kama ya Maalim?
 
Unajiaibisha, shows how lowlife you are, debate kisomi.
Ww tatizo unaleta ukabila amekwenda kwa mahakama,mahakama ikaamua uchaguzi urudiwe hakufungua kuwa tume ile iondolewe haya wamekwenda hadi trh 20 bado siku sita anajitoa hilo ni kosa la nani?kama c kutaka madaraka kwa uradhima?Raila kwa ss ni simba mzee hafai tena wacha ende zake kashndwa aanzisha maneno mengi c asubiri ili aende kwa mahakama tena?uhumi ss washuka nyie jaruo ndo mnaopiga kelele sana lkn amini msiamini mmeshindwa.
 
huu uzi utakua umeanzishwa na mwana chadema...mlijifanya kumgeuka raila mkachagua upande wa kuwafanya muonekane wajinga...huu uchaguzi mnaukubali afu ule wa jecha mnaukataa yaan nyie mnasikitisha sana
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Bahati yao...
intelijensia ya kenya inazuia tanzania kuitawala kaenya kama burundi;kongo,rwanda msumbiji na uganda,

Raila naye anasema anaunda national resistance movement anataraji kuna mtu atatoa boda yake kumpa silaha wakati ICC na UN wamejaa boda zote mipakani
 
intelijensia ya kenya inazuia tanzania kuitawala kaenya kama burundi;kongo,rwanda msumbiji na uganda,

raila naye zezeta,anasema anaunda national resistance movement anataraji kuna mtu atatoa boda yake kumpa silaha wakati ICC na UN wamejaa boda zote mipakani
Kwann umequote comment yangu mkuu, maana naona comment yako inajibu uzi...!
 
Ww tatizo unaleta ukabila amekwenda kwa mahakama,mahakama ikaamua uchaguzi urudiwe hakufungua kuwa tume ile iondolewe haya wamekwenda hadi trh 20 bado siku sita anajitoa hilo ni kosa la nani?kama c kutaka madaraka kwa uradhima?Raila kwa ss ni simba mzee hafai tena wacha ende zake kashndwa aanzisha maneno mengi c asubiri ili aende kwa mahakama tena?uhumi ss washuka nyie jaruo ndo mnaopiga kelele sana lkn amini msiamini mmeshindwa.
rais mzee kama raila anafaa kutega vitendawili na wajukuu,sio kuongoza nchi
 
Kwann umequote comment yangu mkuu, maana naona comment yako inajibu uzi...!

Kenya imehamia mpakani mwa Tanzania, maana Tanzania ndiko Raila analala na kuamka, tuone hiyo national resistance movement kama ya Museveni ilioanzia Tanzania, kwa Kenya itapita na silaha wapi

Kalonzo alitumwa Uganda afate hela, karudi akasepa Ujerumani,kabaki raila na wakora wake akina Mudavadi na Orengo, puppets kama yeye
 
All 290 constituensies must vote
A total of 24 constituencies must give the winner a lead for him to become president

Hivi ngome za Nasa mngeacha vurugu tarehe 26/10/17 kama alivyo sema baba mbaki nyumbani msipige kura..

Sasa ngome kuu mliziba barabara na kuwatishia wananchi wasidhubutu kwenda kupiga kura

Ina maana amri ya baba pekee isingetosha wananchi wabaki majumbani mwao?...matokeo yake ni kuadamana na vifo majeruhi yasiyohitajika kwa wafuasi wa Nasa...

Uelewa wangu ni kwamba Raila alivyosema mbaki nyumbani bila kufanya fujo ingetosha mtulie lakini kitendo cha mashambulizi kwa polisi na waajiriwa wa IEBC ilikua kete ya kujimaliza...wakati mwingine mnamwangusha baba ni vyema akisema mtulie muwa mnatulia
 
Back
Top Bottom