Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
hizi sifa zote kwa Raila n yet urahisi hajaupata?...just like Matiba in 1997 alivyosusia uchaguzi na yeye kafuata mkondo ule ule...Ngoja muone hii wiki mko hapa!!!
Ama mnaenda mahali??..Moi alishindwa kuweza Raila
Kibaki aliekuwa Deputy president wa moi 1980s alisema Raila kuitosha multi partysm ni impossible ....
In 1992 when Raila won for multi partysm Kibaki aliji uzulu Kutoka chama cha Moi na kuunda chama chake Siku hyo hyo .m...Moi used to torture people kuke nyayo house
Moi arrested Raila for 9yrs
Uhuru ni cake walk ngojeni mtaona!!
natumia fursa hii kuwapongeza wakenya,
Raila ni pandikizi la Tanzania,msithubutu kumpa urais,ogopeni Rais anayetafuta urais kutokea nje ya kenya
Raila alikuwa lazima kawekewa masharti ya kuihujumu kenya ili asaidiwe katika Urais wake
hongera sana wakenya,huyu Raila ni pandikizi la Tanzania
mwaka 2016 kabla ya uchaguzi wakenya alikuwa analala na kuamka Tanzania,anapanga mipango ya kuhujumu kenya,anataka kuiuza kenya kwa majirani
james orengo aliwahi kuhifadhiwa na tanzania enzi ya nyerere,huyo hakuna shaka ni pandikizi mwenzie
tanzania imetapakaza watu wake kila nchi ukanda huu,,kenya ndio imekuwa ngumu,na raila. ndio alikuwa kapewa kazi,tangu uhuru wa kenya tanzania imeshindwa kuinfluence siasa ya kenya
sasa pandikizi raila naye anazeeka,labda tutafute mwingine,kalonzo kamkimbia baada ya kumjua ni pandikizi
alikuwa anakesha Tanzania kutafuta nini kama sio kupewa maelekezo ya jinsi ya kutawala kenya?Cyokweli mtoa mada ucongee ucchokijua, raila hakuanza leo harakat zake ni zaid y miaka ishirin iliyopita, so thus time passed alikuwa pandikizo pia au cz now days anapata support n zuzu wenu,
Watanzania wengi mbumbumbu wa siasa za Kenya. Raila ndio baba wa demokrasia Kenya. Mchango wake kupigania demokrasia Kenya utatambuliwa milele daima.
Raila hana historia yoyote ya kutukuka,aliandaa waganga wa kumroga kenyatta lakini wakachemkaWatanzania wengi mbumbumbu wa siasa za Kenya. Raila ndio baba wa demokrasia Kenya. Mchango wake kupigania demokrasia Kenya utatambuliwa milele daima.
Unaota ndoto Za mchana. Huyo Raila wenu keshalewa uraisi atausikia redioni ![emoji23][emoji23] ndio nashangaa kwasababu
Uhuru bado hajatangazwa mshindi
Wafula Chebukati anaweza kata kumtangaza na ahepe kenya kama akombe
Pili
Hata akitangazwa
Kuna kesi kortini tayari ilio funguliwa jana kuukata ushindi wake mara ya pili!!
Na wakati huu kuna evidence kibao kila mahali
Including 3.7mn people nyanza ambao hawakupiga kura kwakua kulikua na vita
Katiba yasema lazima all constituency zipige kura!!
....
Istoshe Raila atajiapisha serikali
Ya kenya haiwezi tumia Jeshi kwa vitu vya ndani ya nchi polisi pekee Wakianza kutumia jeshi kenya itajigawa ....so
Kuna options kibao
KAMA MNADHANI UHURU AMESHINDA
AMA ATAKUWA RAIS MTASHANGAAAAA