Kenya 2022 Raila Odinga apindua matokeo mchana huu Ruto aporomoka

Kenya 2022 Raila Odinga apindua matokeo mchana huu Ruto aporomoka

Kenya 2022 General Election

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mgombea Urais kupitia Azimio, Raila Odinga amefanikiwa kumpita William Ruto kwa idadi ya Kura baada ya kuwa nyuma kwa masaa kadhaa

Hadi kufikia leo saa 6:30 mchana Odinga alikua na kura 6,431,752 (49.46) akifuatiwa na William Ruto mwenye Kura 6,389,957 (49.14%)

Prof. Wajackoyah Kura 56,430 (0.43%) na Mchungaji David Waihiga alikua na Kura 28,973 (0.22%). Kwa mujibu wa Citizen mpaka sasa jumla ya Kura 12,907,112 kati ya Milioni 14 zimehesabiwa.
 
Back
Top Bottom