Kenya 2022 Raila Odinga asema kupiga marufuku uagizaji mahindi nje ya nchi

Kenya 2022 Raila Odinga asema kupiga marufuku uagizaji mahindi nje ya nchi

Kenya 2022 General Election
Hakuna kufedheheshwa tumefedheheshwa. Sisi wakenya sio Kama nyinyi msiokubali mapungufu yenu. We take our problems as a challenge and work a way out of it. The progress might be slow but we are heading somewhere. It might take long but I believe it will be a thing of the past, especially with a change in regime in the pipeline.
Since your indepence this problem is not getting better, when Kibaki came into power, the narrative was the same, then came Uhuruto, they said it would be the history, now you are coming with the same Narrative, nothing will be different. You have to learn from Tanzania on food production.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka juzi tu hata nyanya na vitunguu hawana wamekula chakula kavu
 
Huu ubishi wenu wa kujaribu kukwepa ukweli kwamba tatizo kubwa la upungufu wa chakula Kenya ni kutokana na uzembe wenu, ndio sababu kubwa ya kuendelea kwa tatizo la njaa Kenya.

Haijalishi kwamba eneo la Rwanda linalisha watu wachache kuliko Kenya, muhimu ni kwamba Rwanda wanajitosheleza kwa chakula, Rwanda &Burundi are tiny countries, but don't rely on food donations or import big part of their food.

Kuhusu ushahidi kwamba 50% ya Rwanda kuwa ni rocky hills, kwanza wewe thibitisha kwamba "arable land in Kenya is only a third of your land.

Tanzania has constructed irrigation schemes which cover area almost 80k hacters of land, while Kenya only 20K hacters , you can visit google to confirm

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ulianza vizuru but you are inclining towards the usual rhetoric. Give Rwanda 42 million people (the population of Kenya) to feed and see what happens. It will be chaotic than what's happening in Kenya right now. It doesn't matter how big or small Rwanda is. Here, we are talking about the population it needs to feed with the available arable land they have. That's why I am telling you that the dynamics aren't the same.

Kuhusu kilimo Tanzania, I thought you were going to list high-tech farming methods when you said that mumejenga miradi mikubwa ya kilimo ya "kisasa" kutuliko. I din't know you meant the usual irrigation schemes.

Lastly, only a third of Kenya's land is arable and here is the proof as you requested
 
Hayo maneno ungemuambia rais wako ambaye alisema kwamba hamuwezi kujilisha mnategemea Tanzania na Uganda. Kumbuka kipindi mlichoturudishia dhahabu zetu zilizokamatwa huko JKIA, mlimtuma katibu mkuu wa Wizara ya kilimo kuja kuomba tuwauzie mahindi, ninyi ndio tunawafanyia favour, kumbuka kwamba chakula ni bidhaa adimu nchi nyingi zinahitaji chakula, kumbuka Zimbabwe, DRC, Burundi, Mozambique, Malawi ma Zambia, zote hutegemea chakula toka Tanzania, there is more demand than our capacity, we are selling to you just for spirit of EAC, it is a shame to sell to other countries while our closest neighbors are dying of hunger like flies.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hayo yote tumefanya ili kulinda undugu wetu wa Africa mashariki, not that our lives depend on you. Eti tuombe mtuuzie mahindi?! That's laughable to say the least. Kwa hivyo Mexico pia tuliwalilia ili watuuzie mahindi? You are becoming delusional now. You are talking as if Tanzania ndio nchi ya pekee inayolima mahindi duniani. We can get maize from anywhere we like coz Pesa ni zetu and we dictate the terms
 
Since your indepence this problem is not getting better, when Kibaki came into power, the narrative was the same, then came Uhuruto, they said it would be the history, now you are coming with the same Narrative, nothing will be different. You have to learn from Tanzania on food production.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
You need to be factual with information here, don't just talk for the sake of it. During President Moi's time, hunger was not much of a problem because draught was at manageable levels. This was the same case even during Kibaki's first term in office. The situation became worse around 2012 when Kenya and many parts of East Africa experienced draught known as the worst in 60 years. In fact, hundreds of thousands of people from Somalia and Ethiopia escaped to Kenya in search of food and shelter. These are documented facts, not mere words.

Since that time, the number of Kenyans going hungry has increased as rains continue to fail in most parts of the country, particularly in arid and semi-arid areas. So when you mention since independence, I don't know what you mean. Give me any reports on hunger in Kenya in late 90s and early 2000s Kama utapata
 
Umesahau kutaja kwamba hizi nchi mbili ulizotaja, ardhi yao ni arable 100% wakati sisi only a third of our land is arable. How did that pass you?

How much arable land do you need to bridge the food gap in Kenya? Muache visingizio.
With all the technology existing in this modern world mtu anasingizia mvua serious ? What have you done with the small arable land you have ?
 
Prediction Raila Amolo Odinga is the next coming president
 
Mgombea urais na kiongozi maarufu wa muungano wa Azomio Raila odinga amewahaidi wakulima kuwa atazuia uingizaji wa mahindi toka nje ya nchi. Na ikumbukwe kuwa mahindi mengi yanazalishwa na kuuzwa kutoka Tanzania

Kwa akili ya kawaida ina maana hawa wafanyabiashara wa Kenya wanapata mahindi bei chee hivyo wanapopeleka sokoni bidhaa za Kenya zinadoda.
Hizo ni siasa. Hiyo jeuri hawana labda kama wanampango wa kufa njaa. Niko hapa Arusha naona magari yao yanapambana kuja Tz kununua mahindi.
 
Kweli kabisa, hawa millers nchini Kenya wanaipata bidhaa hiyo kwa bei chee nje ya mipaka ya Kenya. Jambo ambalo linachangia sana kwenye masaibu na changamoto, ambazo wakulima wa Kenya wamekuwa wakikumbana nazo. Bei ya juu ya mbolea na bidhaa zingine za aina hiyo, ushuru n.k, n.k, zimechangia pia kwenye kupunguza uzalishaji wa zao la mahindi nchini Kenya.

RAO anazungumza kuhusu kutatua kero zao hizo, ili kuwawezesha wakulima kuzalisha mahindi kwa wingi. Hatua ya mwisho ndio hiyo inayozungumziwa, ya kupiga marufuku uagizaji wa mahindi kutoka nje.
If millers wanapata mahindi kwa bei chee Tanzania na Uganda ina maana gharama za uzalishaji mahindi Uganda na Tanzania ni ndogo hivyo wakulima wa TZ na UG wanaweza kuuza mahindi kwa bei ndogo na hapo hapo kupata faida. Tatizo Kenya nini hadi mkulima wa Kenya anapata taabu kushindana na wakulima wa kanda ya Afrika Mashariki?
 
Kwa hiyo anaangalia upande mmoja tuu wa wauza mahindi, vipi wanunuzi wanaopata bei rahisi kwa ajiri ya mahindi kutoka nje? aacha market ifanye kazi yake, kama anataka asaidie wazalishaji ili nao wazalishe kwa bei rahisi
 
If millers wanapata mahindi kwa bei chee Tanzania na Uganda ina maana gharama za uzalishaji mahindi Uganda na Tanzania ni ndogo hivyo wakulima wa TZ na UG wanaweza kuuza mahindi kwa bei ndogo na hapo hapo kupata faida. Tatizo Kenya nini hadi mkulima wa Kenya anapata taabu kushindana na wakulima wa kanda ya Afrika Mashariki?
Hawana ardhi ya kutosha, ile Northen Kenya yote ni jangwa tupu
 
Back
Top Bottom