Raila Odinga atangaza kusitisha maandamano

Aliyesaliye sarenda ni aliyeomba mazungumzo ambapo ni ruto akisema yuko tayar kwa mazungumzo aliyokuwa anakataa.na raila kasema ni kwa wiki ijayo tu asipokubali kufungua seva jumatatu ijayo tukutane CBD
 

Attachments

  • Screenshot_20230402-201652_WhatsApp.jpg
    129.2 KB · Views: 2
Afadhali[emoji1548]
 
Mzee bado anakomaa na kutaka Urais tu 😀😊,hajakubali kama Urais umemkataa
 
Very stupid reporter .aliyeweka siraha chini kwanza sio aliyekubali mazungumzo ruto ??
 

Waliokuwa wamekataa mazungumzo sasa wameweka mikono juu.

Mengine ya bei kushuka ni baada ya mazungumzo. Haraka za nini sasa ndugu?
 
Dunia ni kijiji tunajifunza hadi Mongolia, iwe Kenya ndugu?

Upo sahihi. Walakin, siwezi kujifunza kuwa mtovu wa nidhamu au kuasi Serikali yangu kwa kisasi binafsi. Na bila kumumunya, ninaona nguvu nyingi sana au niseme mbinu, unazoweka ni zile za uharakati, yaani ni zile za kichochezi alimradi watu watwangane ili kufikiwe maridhiano au suluhisho wa kile.. unachokiona Watanzania hatuna.....kwani.....Ni ushahidi tosha kwa uzi wako huu wa kukubali matokeo yalyotokekana na Vurugumechi za Odinga na sasa Ruto kutaka kupata suluhisho kupitia Bunge au Uwakilishi rasmi wa Bungeni Umefikiwa.

Tujifunze kuwa na Ukabila Fulani?
Tujifunze kuwa na Vurugu kila wakati tunatofautiana?

Kwanini Watanzania tujifunze kuwa vituko?
 
Naona povu tayari 🤣🤣

Kukutambua utanzania wako halisi hakuwezi kuitwa povu. Hii ni sifa ya utanzania tunayojivunia:

"Ujuaji."

Kwa mtanzania, yeyote ni mjinga isipokuwa yenye.

Kwani sifa yako yako huijui ndugu? Tembea kifua mbele. Wasifu wako wauvuaje yakhe?

Mkuu umetuwakilisha.
 

Asante kwa kutambua kuwa niko sahihi. Hiyo ni hatua njema.

Utovu wa nidhamu ni relative. Inategemea umesimama wapi:



Kwani wewe uko upande gani hapo ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…