The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe naona hata haumjui Raila.Raila anatafuta madaraka apate hela alishe na kusomesha watoto wake shule nzuri.
Sasa muda wote huo mnasubiri nini kukinukisha?
Afadhali[emoji1548]Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga ametangaza kusitisha maandamano yaliyokuwa yameratibiwa kufanyika kesho Jumatatu, na kuwakataka Wakenya kuendelea na shughuli zao za kawaida.
Tangazo hili linakuja dakika chache tu baada ya Rais William Ruto kumuomba Raila asitishe maandamano, alisema yupo radhi kuzungumza na Upinzani kwa kusudi la kuangazia baadhi ya kero zao.
"Tumefurahishwa na usemi wa Ruto kwamba Yuko tayari kuzungumza nasi." Amesema Odinga.
Ikumbukwe Odinga alikuwa amesema Jana kwamba maandamano ya Jumatatu yatakuwa ndio 'mama wa maandamano yote'
Umjue kwani wewe nani?Wewe naona hata haumjui Raila.
Mzee bado anakomaa na kutaka Urais tu 😀😊,hajakubali kama Urais umemkataaKiongozi wa Upinzani Raila Odinga ametangaza kusitisha maandamano yaliyokuwa yameratibiwa kufanyika kesho Jumatatu, na kuwakataka Wakenya kuendelea na shughuli zao za kawaida.
Tangazo hili linakuja dakika chache tu baada ya Rais William Ruto kumuomba Raila asitishe maandamano, alisema yupo radhi kuzungumza na Upinzani kwa kusudi la kuangazia baadhi ya kero zao.
"Tumefurahishwa na usemi wa Ruto kwamba Yuko tayari kuzungumza nasi." Amesema Odinga.
Ikumbukwe Odinga alikuwa amesema Jana kwamba maandamano ya Jumatatu yatakuwa ndio 'mama wa maandamano yote'
Very stupid reporter .aliyeweka siraha chini kwanza sio aliyekubali mazungumzo ruto ??Nairobi.
Leo Mh William Ruto ametoa kile ninachokichukulia kama kauli muhimu tangu uchaguzi mkuu kuitimiahwa hapa nchini mwetu.
View attachment 2574322
Tumekutana na kusikiliza kundi mbali mbali ya Wakenya wakiwemo viongozi wa kidini kuhusu mzozo unaokumba nchi yetu -Mh. Raila Amolo Odinga.
Kutokana na kauli hiyo muzee kaamua kuweka siraha yale chini na kumsikiliza kijana wake kisiasa ambaye ni Rais wa Kenya W. Ruto.
===============
Pia unaweza kusoma...
RAILA: Jumatatu Ndiyo Itakuwa Mama wa Maandamano, Gachagua Kasema Ndiyo Mwisho wa RAILA
Nadhani jirani zetu hawa wana jambo lao ambalo inaonekana ni tofauti na siasa. Nilisema kama ni siasa basi wafungue server ila hawataki na hiki wanachotambiana kina nwisho mbaya. DP Rigathi anasema ‘Jumatatu itakuwa siku ya mwisho’ kwa Odinga kufanya maonyesho nchini Kenya, anasema haitakuwa...www.jamiiforums.com
Kwa hiyo ndo unga utashuka. Raila anatafuta madaraka apate hela alishe na kusomesha watoto wake shule nzuri. Kuna wajinga wameuawa, kuna wajinga wameachwa vilema, wwngine wanauguza maumivu hospitali ila wenye nchi wanaenda kuongea mezani wanafanya hand shaking maisha yanasonga
Basi nenda kajifunze na huko Ukraine.Dunia ni kijiji tunajifunza hadi Mongolia, ije kuwa Kenya ndugu?
Naona povu tayari 🤣🤣Umjue wewe kwani wewe nani?
Mitanzania mijinga hudhani yenye kujua ni yenyewe tu.
Bure kabisa!
Kwa nini unichagulie wewe pa kwenda kujifunza? Kwani nikitaka kujifunza Lesotho inakuhusu wewe nini? Hivi akili zenu ni majina tu?Basi nenda kajifunze na huko Ukraine.
Dunia ni kijiji tunajifunza hadi Mongolia, iwe Kenya ndugu?
Makamanda uchwara ni maoga kama kunguru.Hatimaye maandamano yasitishwa. Somo limeeleweka. Ruto kaona umuhimu wa kuongea.
View attachment 2574297
Sisi tuendelee kusuburia maembe kwenye mnazi.
Raila agenda ni zile zile:
Raila suspends Azimio protests, to engage in dialogue with Ruto
Bila kukomaa itakuwa mwendo wa kulialia tu kama kwetu.
Siri ya mafanikio yao ni uwepo wa nguvu ya umma ya uhakika.
Naona povu tayari 🤣🤣
Upo sahihi. Walakin, siwezi kujifunza kuwa mtovu wa nidhamu au kuasi Serikali yangu kwa kisasi binafsi. Na bila kumumunya, ninaona nguvu nyingi sana au niseme mbinu, unazoweka ni zile za uharakati, yaani ni zile za kichochezi alimradi watu watwangane ili kufikiwe maridhiano au suluhisho wa kile.. unachokiona Watanzania hatuna.....kwani.....Ni ushahidi tosha kwa uzi wako huu wa kukubali matokeo yalyotokekana na Vurugumechi za Odinga na sasa Ruto kutaka kupata suluhisho kupitia Bunge au Uwakilishi rasmi wa Bungeni Umefikiwa.
Tujifunze kuwa na Ukabila Fulani?
Tujifunze kuwa na Vurugu kila wakati tunatofautiana?
Kwanini Watanzania tujifunze kuwa vituko?
Si tulishakubaliana wewe ni katika wale vijana wa hovyo?Makamanda uchwara ni maoga kama kunguru.