Raila Odinga atangaza kusitisha maandamano

Raila Odinga atangaza kusitisha maandamano

Tanzania mazuzu wengi sana ebu angalia leo kuna wajinga wanalilia jitu lilokuwa litesaji na liuwaji na liloona wapinzani kama ni mbwa mwitu tu wasiotakiwa kuonewa huruma na hawastahili haki yoyote liliona nchi ni mali yake binafsi na kikundi chake tu.
 
Kuna na mengine hapa Magonjwa Mtambuka johnthebaptist UmkhontoweSizwe na ya namma hiyo yana jina lao.

Hayana mchango wowote kwa taifa hili.
 
Umeuliza swali zuri sana.
Kwanini Watanzania wajifunze Kenya kwenye siasa za Ukabila?

Ruto na Gachagua wamekubali kuongea na kabila? Tuacheni ujuaji ndugu zangu. Kujidhania kuwa mwerevu kuliko umati huu:

Frml9PgWwAIYbR1.jpeg

una jina lake linaloweza kuwa siyo zuri sana masikioni mwako.

Wanaosema watanzania tumerogwa wana hoja.

Wasikilizwe!
 
Bongo wakati wa maandamano ilikua ni awamu iliyopita. Saivi hilo swala limerudi tena nyuma
 
Ruto na Gachagua wamekubali kuongea na kabila?
Wapi niliposema kuongea na Kabila?
Jibu swali au uache haya uliyoyabandika 👇🙄
Tuacheni ujuaji ndugu zangu. Kujidhania kuwa mwerevu kuliko umati huu:

View attachment 2574360

una jina lake linaloweza kuwa siyo zuri sana masikioni mwako.
Jibu hoja
Wanaosema watanzania tumerogwa wana hoja.
Na ndio tunasema, hakuna anayejielewa akadai yeye karogwa! Vilevile kuwa, wewe si Mtanzania
Wasikilizwe!

👇
 
Huku viongozi wakomae kuhusu katiba na tume huru ya uchaguzi,wanasiasa wasiokua na dhamira njema na wananchi,wakae pembeni,wenye dhamira wakae front.
Wakomae kwanza bei za vyakula kama Kenya ndio sawa
 
Kwa hiyo ndo unga utashuka. Raila anatafuta madaraka apate hela alishe na kusomesha watoto wake shule nzuri. Kuna wajinga wameuawa, kuna wajinga wameachwa vilema, wwngine wanauguza maumivu hospitali ila wenye nchi wanaenda kuongea mezani wanafanya hand shaking maisha yanasonga
Ana pesa mpaka ataziacha
 
Hatimaye maandamano yasitishwa. Somo limeeleweka. Ruto kaona umuhimu wa kuongea.

View attachment 2574297

Sisi tuendelee kusubiria maembe kwenye mnazi.

Raila agenda ni zile zile:

Raila suspends Azimio protests, to engage in dialogue with Ruto

Bila kukomaa itakuwa mwendo wa kulialia tu kama kwetu.

Siri ya mafanikio yao ni uwepo wa nguvu ya umma ya uhakika.
Matanzania ni majitu ya ajabu sana, yanaishi kama kuku wa kienyeji. Hayawezi kuanzisha mageuzi yoyote dhidi ya serikali ya kifisadi ya CCM.
 
Wapi niliposema kuongea na Kabila?
Jibu swali au uache haya uliyoyabandika 👇🙄

Jibu hoja

Na ndio tunasema, hakuna anayejielewa akadai yeye karogwa! Vilevile kuwa, wewe si Mtanzania

👇

Post Yako #36 ingalipo irejee kuyatambua unayoniuliza tena
 
Back
Top Bottom