Raila Odinga atashikwa muda si mrefu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Nina uhakika kabisa wanamlia timing tu na ni swala la muda kabla hamjasikia wamemtia nguvuni, hii itatokea Raila apende asipende, kama wamemkamata aliyemuapisha iweje aliyekula kiapo awe huru? Hivyo ninaamini kabisa watamshika Raila Odinga na kumfungulia mashitaka, sasa hivi wanamsubiri afanye kosa moja tu halafu wamshike, ...
 
Wajipange.....Odinga kafanya yale kwa kusudi ....wataishishia kuwindana..mmoja alazwe bac!
 
Wewe kenge unadhani Kenya inatawaliwa na ccm?
 
Yawezekana Raila yakamkuta yaliyomkuta marehemu baba yake kiungwana atafungwa kifungo cha nyumbani
 
Umeongea na Sisonje? Maana Raila yuko chato mapumzikoni.


Take it or not.

Sisonje anafuga madkteta



Swissme
 
ukisikia kosa ambalo uhuru na wafuasi wake watalifanya ni kumkamata Raila.....
kutatokea machafuko makubwa sana kenya, damu za wasio na hatia zitamwagika, mamia kwa maelfu ya wakenya yatateketea. Odinga ana wafuasi wengi sana na ni wanazi, hawatokubali kirahisi serikali imkamate, Uhuru analijua hili. Sio kama tz ni wapiga porojo mitandaoni tu huku wamejifungia majumbani mwao.

Gob bless Africa.
 
Raila yupo Kenya bana, jana jioni ameongea na wanahabari akiwa na vigogo wenza wa NASA, lakini hawakuwa wanaeleweka. Jamaa wamejawa na tumbo joto si mchezo, hadi Kalonzo, Mr. Tikitimaji, alikuwa anatiririkwa na machozi akijaribu kuwaeleza wafuasi wao kwanini hakuja bustani ya Uhuru Park kuapishwa. Eti alikuwa 'under house arrest' 😀 Usibonyeze kidude, afrosinema continues shortly.....
 
Kwa hiyo ukiwa na wafuasi wengi ndio unaruhusiwa kuvunja sheria kwa MAKUSUDI?! Coment kama hii Inashangaza!
 


Hakuna Machafuko Afrika bila ya Muzungu kukubali kuwe na Machafuko na safari hii Muzungu kampozea Raila sijui ni kwa nini, hivyo hata kama wakiingia barabarani Jeshi litawacrush na kuzima mara moja, amini usiamini watamshika na hakuna kitu kitatokea zaidi ya chuki na maneno mitandaoni tu, subiri afanye kosa kidogo tu, amebakiza kosa moja na watamshika na maisha yataendelea!
 
Uhuru keshakomaa kisiasa kaona raila ni joka la kibisa halina madhara kama alivyoamua amuache aapishwe basi atamwacha ili Raila aendelee kuonekana comedy
Naona umeelewa tactic za rais Uhuru Kenyatta, kilichobaki tu ni kifo cha Raila kisiasa. Alivoachiwa ajiapishe bila bughudha, ilikuwa ni kama tu ule mtego wa kumnasa kanga.
 
Kosa gani zaidi ya uhaini aliofanya? mnaogopa!
 
Muzungu hana rafiki bali mwenyewe!
 
"baba,baba,baba!"
HAKUNA fara aliyewahi kuitwa hivyo isipokuwa Raila!
Huwezi jiuliza nini sababu?
Fuatilia kazi n.a. matendo yake ktk siasa za Kenya ndo umbeze.
Raila ni mfano wa mwenye maono ,jasiri n.a. mtu wa watu. Ni wakikuyu tu hawamkubali sababu ya "ujinga"wa ukabila.
 
Mzungu kampozea Raila sababu hataki kdf Somalia na hofu anaweza iendesha Kenya kiujamaa.
Ila mbaba wananchi wakichafukwa, hata Huyo mzungu asaidie serikali, hakuna kitu watazuia. Tuombee tu isifikie huko na wasimkamate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…