Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Nina uhakika kabisa wanamlia timing tu na ni swala la muda kabla hamjasikia wamemtia nguvuni, hii itatokea Raila apende asipende, kama wamemkamata aliyemuapisha iweje aliyekula kiapo awe huru? Hivyo ninaamini kabisa watamshika Raila Odinga na kumfungulia mashitaka, sasa hivi wanamsubiri afanye kosa moja tu halafu wamshike, ...