Raila Odinga awataka wafuasi wa NASA wasiende kazini kesho

Raila Odinga awataka wafuasi wa NASA wasiende kazini kesho

Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya NASA bwana Raila Odinga amewataka wafuasi wa NASA kususia kwenda kazini kesho. Ameyasema haya hivi punde wakati anahutibia wafuasi wake maeneo ya Kibra jijini nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app

========

Opposition leader Raila Odinga is currently addressing supporters in Kamkunji grounds in Kibera as calm returns in most neighbourhoods where post-poll protests took place on Saturday.

He is then expected to visit family of 10-year-old girl shot dead during protests in Mathare.

This is the first time Raila will speak after he was trounced in the elections by President Uhuru Kenyatta during Tuesday's elections.

IEBC on Friday declared the incumbent winner of the presidential poll by 1.4 million votes.

Angry protests erupted in opposition strongholds in Nairobi and Kisumu areas as the counting of votes continued, but the IEBC said the election had been free and fair.

A 10-year-old girl is among 11 people shot dead as protests intensified in Mathare, Kibera and parts of Nyanza region on Saturday.

Acting interior CS Fred Matiang'i claimed "I am not aware of anyone who has been killed by live bullets in this country. Those are rumours. People who loot, break into people’s homes, burn buses are not peaceful protesters."

Kenya was largely quiet on Sunday following violence in the aftermath of elections, as Raila came under growing international pressure to concede defeat.

International observers said Tuesday's election was largely fair but Odinga disputes the results, saying it was rigged. He has not provided documentary evidence.

There have been at least 24 deaths in election-related unrest, a rights group said on Saturday.

But by Sunday the violence appeared to have largely abated, to the relief of Kenyans who feared a repeat of the violence that followed 2007's disputed election.

Around 1,200 people were killed then and 600,000 displaced after Odinga called for political protests that sparked ethnic violence. Regional trade was paralysed and Kenya's economy - the region's biggest - took years to recover

Chanzo:The Star
Atawalipa yeye Mshahara?
 
Anaumwa bila shaka huyu!!!!!! Katiba ya Ke inampa uhuru wa kukata rufaa mahakamani ndani ya siku 14 ili kuhakiki taarifa. Tume ya uchaguzi pia ilimpa nafasi ya kuhesabu kura upya pale aliposema kaibiwa sasa hizi kelele za nini?

Uhuru zuia mikutano mpaka mwaka wa uchaguzi ufike

Kwa katiba ya Kenya, hakuna raisi anayeweza kufanya hivyo hata awe mwendawazimu. Pili wenzetu wanaingia kwenye uchaguzi kwa kujiamini, achana na hawa wa kwetu wanaotumia mabavu kubana demokrasia!!!!
 
Huku tungeshasikia amekamtwa

Mazingira ni tofauti. Hata kule ilistahili akamatwe lakini jambo Hilo litaleta madhara zaidi ila kwa TZ kumkamata mtu anaeharibu AMANI na UTULIVU wa Nchi kunaleta mafanikio makubwa.
 
Well said mkuu, sijui kwa nini baadhi ya members wanambeza Raila? Ukichunguza Waswahili wengi wanao msema vibaya Odinga utakuta ni wale wenye chuki binafsi dhidi ya JPJM!!!

Kila mtu mwenye akili timamu anajua Odinga alichezewa rafu katika uchaguzi huu, uthibitisho ni kuuwawa kwa Mkurugenzi Mkuu aliye kuwa ana simamia mission critical ICT system, mtambo huo ndiyo kila kitu, mtu akifanikiwa kuhu-hack ndio basi tena - Uhuru na kundi lake walijua sana ukweli huo, hivyo kuuwawa kwa msimamizi mkuu wa tehama hasa baada ya yeye kusema hakuna Mkenya yeyote anayeweza kuingilia system hiyo na kufanikiwa kuiba kura, aliongezea kwamba awezi kumwambia yoyote jinsi system hhiyo inavyo fanya kazi labda wamkate mkono ndio anaweza kutoa siri, sasa nini kilifuatia baada ya kutoa kauli hiyo kwenye Luninga - jamaa walituma mwanamke ambaye alikuwa rafiki yake wakawawekea mtego na kuwauua wote, hawakuishia hapo walimtesa na baadae kukata mkono wake - what does that tell you about matokeo ya uchaguzi tunao ushuhudia huko Kenya - kuna tatizo si bure.

Mimi nashangazwa sana kwa maoni ya waangalizi wa upigaji kura kutoka nje, kwa nini kuuwawa kwa mtu anaye simamamia roho/brain ya kutoa takwimu kamili ya upigaji kura naona waangalizi awakuchukulia tukio hilo ovu seriously - mimi nilitegemea wangesema kura zirudiwe kwa kutumia Sytem mpya yenye wasimamizi kutoka nje - hilo alikufanyika badala yake wanalazimisha Raila eti akubali kushindwa - hii inaleta picha gani kuhusu chaguzi barani Africa? Ni aibu tupu.
Unakumbuka kuwa kila fomu yenye matokeo kutoka kwenye kila kituo ilikaguliwa upya?jamaa wenu kashindwa kwa haki

Kuuawa kwa officer wa IEBC si lazima iwe ni serikali,ninavyoona wote NASA na Jubilee wanaweza wakawa watuhumiwa hakuna aliyena uhakika officer huyu ameuawa na nani??
 
Raila and the Group, kama mna genuine claims nendeni Mahakamani, kila mtu ana maisha yake Binafsi na shida zake.
Ukishindwa Mahakamani ni either you join them au ukubali kushindwa, na kuomba Mungu ndio akulipie dhuluma ulizo pata na sio kuwata innocent people to suffer for You.
Hata Mimi ningependa Ushinde, lakini fuata taratibu.
 
Kuuawa kwa officer wa IEBC si lazima iwe ni serikali,ninavyoona wote NASA na Jubilee wanaweza wakawa watuhumiwa hakuna aliyena uhakika officer huyu ameuawa na nani??

Maoni yako yana substance, lakini mkuu tukichukulia kauli na baadhi ya vitendo vya Dola vinatia shaka, mfano: Kwa nini mmoja wa wagombea Urais wakati wa kampeini alitamka adharani kwamba majimbo fulani hata kama hawatampigia kura atashinda tu, kitu gani kilicho mfanya ajiamini kupita kiasi kama sio kujua kwamba watachezea idadi za kura/wizi?

Hilo la kwanza, la pili kwa nini IEBC ilikuwa inatangaza matokeo ya majimbo haraka haraka hata kabla hawajapata form za uhakiki kutoka kwa mawakara wa vyama vya upinzani, IEBC ilikuwa na haraka gani i.e walitaka ku pre empty kitu gani? Ni wazi kasi ya kutangaza matokeo kwa chaguzi nchini Kenya ilitia fora hata Taifa kama Merikani lenye uwezo wa kitekinolojia alikuwahi kufikia kasi ya IEBC - WHY???
 
Wenzenu walicheza na number mapema.Na Wakenya siyo wajinga kama Wabongo wanajua kuwa hata ikiwa una strong hold kiasi gani bado utapata kura za wanaokupenda.Hata Pemba walimpigia kura mgombea wa CCM japo si nyingi.

Ni number tu hayo mengine amecheza na akili za Raila tu.Sasa kile kituo chake kule Kigamboni hakikufanya kazi??Mbona ameambiwa apeleke kesi mahakamani amesema hana muda?Na Mahakama zao ziko huru kwa 99%.AMesema hapeleki sababu hana evidence.

Shida ameshashindwa na kwa sababu kuu moja uhusiano wake na JPM,na ile ya kusema atafanya kama JPM ndiyo wenzake wakajumlisha wakatoa wakaona mh!huyu hatufai.

Na imeonekana kiongozi mzuri huwezi kuhamasisha watu wafanye vurugu wakati sheria ipo.Wanasheria ya kupinga matokeo na si kuhamasisha fujo.Raila amekataliwa na WAKENYA.

Na pili Mwenyezi Mungu anajua kwanini hajapita vinginevyo kungekuwa na balaa zaidi
 
Back
Top Bottom