Raila Odinga Hafai Kuwa Rais Wakenya

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Wakenya wanapiga kura mwezi ujao kumchagua Rais wa nchi hiyo.
Ni kitendo cha aibu kwa kiongozi huyo anayejiita kinara wa upinzani na demokrasia kushindwa kutoa pole ama tamko lolote linalohusiana na kupigwa risasi kwa mwanasiasa maarufu kutoka chama cha upinzani Tanzania Mheshimwa Tundu Lissu.

Raila Odinga ameshindwaje hata kwenda hospitali kumjulia hali mwanasiasa huyo. Raila ni mtu mwenye uchu wa madaraka na chuki za kisiasa.

Natoa shukrani Uhuru Kenyatta kwa jinsi alivyotoa ulinzi kwa kipenzi cha watanzania Tundu Lissu
 
Nani kakwambia Tundu ni maarufu hapa Kenya?. We know nothing about Tundu.... In Kenya we only know Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ACHA POROJO. HUNA HOJA
 
Jana tu nimeambiwa hapa hapa jf kwamba nina chuki za kibinafsi na Raila! Ingekuwa ni Uhuru ndo alikuwa kiongozi wa upinzani Kenya hata kama angekuwa na urafiki na Magufuli lazima angefika pale hospitalini, amjulie hali Tundu Lissu, kama ishara ya kusimama na upinzani wa tz. Uhuru Kenyatta kawaida yake huwa anafikiria 'outside the box' huyo ndo aina ya kiongozi anayefaa katika nyakati hizi!
 
Raila Odinga hafai hafai kuwa Rais wa Kenya na siku wakenya wakimchagua watajuta.
 

Simpendi Uhuru Kenyatta ila simpendi zaidi Raila Odinga kwani ni Mkabila kupitiliza na ana uchu kama siyo uroho uliotukuka wa Madaraka. Nadhani Kenya ya sasa bado inamuhitaji zaidi Uhuru Kenyatta kwani ana ' Vision ' ya kweli na nchi ya Kenya na Wakenya kwa ujumla. Mapungufu yake yanarekebishika ila ya Raila Odinga hata aje Yesu Kristo hayarekebishiki.

Nitawadharau mno na sana Wakenya kama msipomchagua tena Uhuru Kenyatta kuwaongozeni na mkampa Mkabila Odinga.
 
Anaishi jumba la bilioni 20 za kitanzania halafu anaomba maskini Kenya wamchangie haoni hata aibu.
 
Anaishi jumba la bilioni 20 za kitanzania halafu anaomba maskini Kenya wamchangie haoni hata aibu.

Nawaamini na nawaheshimu mno Wakenya hawatamchangua na wala Raila Odinga hatokuja kuwa Rais wa Kenya milele.
 
Hebu fikiria, Mbowe walishatoa tamko ya kuwa wanampa support Uhuru kisa na maana Raila alim-support Magufuli. Halafu isitoshe, Lowasa kaja kwetu kisha kampigia debe Uhuru kwa Wamaasai ya kuwa wampigie Uhuru kura halafu leo hii unasemaje?????????? Ya kwamba Raila aende kumwona Mbowe ambaye yupo na Tundu wataanzaje??????? Anyway, I think Raila is above that and let's pray that maybe he will visit Tundu. Pole sana Tundu.
 
Ukweli Raila hafai kuwa kiongozi kwanza ana Roho ya vinyongo sana isitoshe anaweza kuja kuenda Kenya kama huyu jaluo wa huku kwetu. Japo Uhuru ana Roho ya Unyama ila mimi naona Raila anayo mbaya zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mwanasiasa mzuri siasa haina chuki. Nelson Mandela alimwalika ikulu mkuu wa gereza alipokuwa amefungwa miaka 27 na kunywa naye chai.
 
Ukweli Raila hafai kuwa kiongozi kwanza ana Roho ya vinyongo sana isitoshe anaweza kuja kuenda Kenya kama huyu jaluo wa huku kwetu. Japo Uhuru ana Roho ya Unyama ila mimi naona Raila anayo mbaya zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Raila ni mtu mwenye uchu wa madaraka hata wakenya wakifa. Mwaka 1982 alishiriki kwenye mapinduzi yaliyoshindwa zaidi ya wakenya 2000 waliuwawa yeye akakimbilia ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…