Truths
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,494
- 1,504
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Raila ni mbinafsi saaaana sana. Sasa anasema shule zisifunguliwe ati uchaguzi ndio wa maana zaidi,billioni Ksh 15 zitatumika uchaguzi wa marudio sababu yake na maafisa wa IEBC wa zamani waliondolewa bila hatia sababu hakuwa na imani nao.Sasa tume mpya tena anataka ivunjwe .Raila will Never Never be President of Kenya hata ukitoa matusi. Raila ni fisadi mkubwa anaishi nyumba ya bilioni moja ni nyie wajinga mnaishi nyumba za slams Mathare
Good, no addition.Nani kakwambia Tundu ni maarufu hapa Kenya?. We know nothing about Tundu.... In Kenya we only know Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Raila ni maarufu 4 losing 4 consecutive elections ! Hope he looses again....!Nani kakwambia Tundu ni maarufu hapa Kenya?. We know nothing about Tundu.... In Kenya we only know Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Helicopter Raila amenunua mwaka huu zaidi ya dola milioni 10 halafu anajiita Rais wa WanyongeWakenya wanapiga kura mwezi ujao kumchagua Rais wa nchi hiyo. Ni kitendo cha aibu kwa kiongozi huyo anayejiita kinara wa upinzani na demokrasia kushindwa kutoa pole ama tamko lolote linalohusiana na kupigwa risasi kwa mwanasiasa maarufu kutoka chama cha upinzani Tanzania Mheshimwa Tundu Lissu. Raila Odinga ameshindwaje hata kwenda hospitali kumjulia hali mwanasiasa huyo.
Raila ni mtu mwenye uchu wa madaraka na chuki za kisiasa. Natoa shukrani Uhuru Kenyatta kwa jinsi alivyotoa ulinzi kwa kipenzi cha watanzania Tundu Lissu
Wewe ndo umafaaWakenya wanapiga kura mwezi ujao kumchagua Rais wa nchi hiyo. Ni kitendo cha aibu kwa kiongozi huyo anayejiita kinara wa upinzani na demokrasia kushindwa kutoa pole ama tamko lolote linalohusiana na kupigwa risasi kwa mwanasiasa maarufu kutoka chama cha upinzani Tanzania Mheshimwa Tundu Lissu. Raila Odinga ameshindwaje hata kwenda hospitali kumjulia hali mwanasiasa huyo.
Raila ni mtu mwenye uchu wa madaraka na chuki za kisiasa. Natoa shukrani Uhuru Kenyatta kwa jinsi alivyotoa ulinzi kwa kipenzi cha watanzania Tundu Lissu
Raila yuko more digital than Uhuru. Raila is an Engineer, and has taught Engineering at University of Nairobi. If your gauge for someone digital is someone who can use a smartphone, do Facebook/Twitter, or some stupid stuff like that, how about a President who has actually taught advanced Engineering, and understands advanced math concepts.Wapumbavu ni WATU wa aina yako Kenya inataka Digital President sio Analog President,
Hata huku kwetu tunamjua Uhuru Kenyatta tu wengine hao unawaita Laila ni uchuro tu hatuwajui hivyo endelea na hali yako usitingishe hali zetu.Nani kakwambia Tundu ni maarufu hapa Kenya?. We know nothing about Tundu.... In Kenya we only know Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ya Raila inatia mashaka sana kama kwani mwaka 1962 Raila hakumaliza kusoma elimu ya sekondari katika shule ya Maranda High School. Mwaka 1965 alipata ufadhili kwenda kusoma chuo cha ufundi huko ilipokuwa Ujerumani Mashariki (Technical School Magdeburg) anadai alichukua degree hiyo na masters degree lakini inatia mashaka. Raila hakuwahi kufanya kazi Nairobi University bali alifanya kazi kama manager Kenya Bureau of standards mwaka 1978-1982. Ukisikia hotuba ya nyingi za Raila kwa vijana maarufu mzee wa vitendawili hakuna cha maana anachoongea sera zake kudanganya wananchi anawapeleka Canan ardhi ya matumaini kumbe shida yake ni kwenda kuwatumbukiza wakenya Mediterranean Sea. Mkuu Raila Odinga hafai kuwa Rais wa Kenya afadhali Mudavadi ama Kalonzo. Nchi nyingi za Magharibi hazitaki kabisa kuona Raila anakuwa Rais wa Kenya ndio maana zilimpongeza Uhuru Kenyattta kwa haraka katika uchaguzi uliopita pamoja na utata wake.Raila yuko more digital than Uhuru. Raila is an Engineer, and has taught Engineering at University of Nairobi. If your gauge for someone digital is someone who can use a smartphone, do Facebook/Twitter, or some stupid stuff like that, how about a President who has actually taught advanced Engineering, and understands advanced math concepts.
That's a truly digital president. Uhuru on the other hand mlevi, is just a political science, and economics graduate, so his degree was half politics, and some economics classes. Very light compared to an Engineering degree. Unajua watoto wa wadosi, especially watoto wa maraisi, they don't even study while at University, they are always partying. They don't have to work that hard to make it in life.
Uhuru hamfikii Raila kwa mambo Digital/ Engineering.
Sasa wewe wa Ushagoo utajua nani weweNani kakwambia Tundu ni maarufu hapa Kenya?. We know nothing about Tundu.... In Kenya we only know Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii si Chinook? Kuna raia anaruhusiwa kumiliki Helkopta ya kivita?Hii Helicopter Raila amenunua mwaka huu zaidi ya dola milioni 10 halafu anajiita Rais wa Wanyonge
View attachment 587115
Yeah rangi ya kijeshi imenichanganya na muundo wake piaHiyo ni Eurocopter EC 145 siyo Chinook. Ama rangi ya kijeshi inakuchanganya
Wewe Kumwona Lissu ndio uraisWakenya wanapiga kura mwezi ujao kumchagua Rais wa nchi hiyo. Ni kitendo cha aibu kwa kiongozi huyo anayejiita kinara wa upinzani na demokrasia kushindwa kutoa pole ama tamko lolote linalohusiana na kupigwa risasi kwa mwanasiasa maarufu kutoka chama cha upinzani Tanzania Mheshimwa Tundu Lissu. Raila Odinga ameshindwaje hata kwenda hospitali kumjulia hali mwanasiasa huyo.
Raila ni mtu mwenye uchu wa madaraka na chuki za kisiasa. Natoa shukrani Uhuru Kenyatta kwa jinsi alivyotoa ulinzi kwa kipenzi cha watanzania Tundu Lissu
Raila hana supporters wawili au watatu unavyodhani.Anaishi jumba la bilioni 20 za kitanzania halafu anaomba maskini Kenya wamchangie haoni hata aibu.
Tatizo ni uelewa unadhani wewe ulivyo shabiki wa lisu kila mtu anawaza lisu kalaganbahoWakenya wanapiga kura mwezi ujao kumchagua Rais wa nchi hiyo. Ni kitendo cha aibu kwa kiongozi huyo anayejiita kinara wa upinzani na demokrasia kushindwa kutoa pole ama tamko lolote linalohusiana na kupigwa risasi kwa mwanasiasa maarufu kutoka chama cha upinzani Tanzania Mheshimwa Tundu Lissu. Raila Odinga ameshindwaje hata kwenda hospitali kumjulia hali mwanasiasa huyo.
Raila ni mtu mwenye uchu wa madaraka na chuki za kisiasa. Natoa shukrani Uhuru Kenyatta kwa jinsi alivyotoa ulinzi kwa kipenzi cha watanzania Tundu Lissu