Raila Odinga Hafai Kuwa Rais Wakenya

Raila Odinga Hafai Kuwa Rais Wakenya

Raila will Never Never be President of Kenya hata ukitoa matusi. Raila ni fisadi mkubwa anaishi nyumba ya bilioni moja ni nyie wajinga mnaishi nyumba za slams Mathare
Huyu Raila ni mbinafsi saaaana sana. Sasa anasema shule zisifunguliwe ati uchaguzi ndio wa maana zaidi,billioni Ksh 15 zitatumika uchaguzi wa marudio sababu yake na maafisa wa IEBC wa zamani waliondolewa bila hatia sababu hakuwa na imani nao.Sasa tume mpya tena anataka ivunjwe .
 
Wakenya wanapiga kura mwezi ujao kumchagua Rais wa nchi hiyo. Ni kitendo cha aibu kwa kiongozi huyo anayejiita kinara wa upinzani na demokrasia kushindwa kutoa pole ama tamko lolote linalohusiana na kupigwa risasi kwa mwanasiasa maarufu kutoka chama cha upinzani Tanzania Mheshimwa Tundu Lissu. Raila Odinga ameshindwaje hata kwenda hospitali kumjulia hali mwanasiasa huyo.
Raila ni mtu mwenye uchu wa madaraka na chuki za kisiasa. Natoa shukrani Uhuru Kenyatta kwa jinsi alivyotoa ulinzi kwa kipenzi cha watanzania Tundu Lissu
Hii Helicopter Raila amenunua mwaka huu zaidi ya dola milioni 10 halafu anajiita Rais wa Wanyonge
image.jpeg
 
Wakenya wanapiga kura mwezi ujao kumchagua Rais wa nchi hiyo. Ni kitendo cha aibu kwa kiongozi huyo anayejiita kinara wa upinzani na demokrasia kushindwa kutoa pole ama tamko lolote linalohusiana na kupigwa risasi kwa mwanasiasa maarufu kutoka chama cha upinzani Tanzania Mheshimwa Tundu Lissu. Raila Odinga ameshindwaje hata kwenda hospitali kumjulia hali mwanasiasa huyo.
Raila ni mtu mwenye uchu wa madaraka na chuki za kisiasa. Natoa shukrani Uhuru Kenyatta kwa jinsi alivyotoa ulinzi kwa kipenzi cha watanzania Tundu Lissu
Wewe ndo umafaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapumbavu ni WATU wa aina yako Kenya inataka Digital President sio Analog President,
Raila yuko more digital than Uhuru. Raila is an Engineer, and has taught Engineering at University of Nairobi. If your gauge for someone digital is someone who can use a smartphone, do Facebook/Twitter, or some stupid stuff like that, how about a President who has actually taught advanced Engineering, and understands advanced math concepts.

That's a truly digital president. Uhuru on the other hand mlevi, is just a political science, and economics graduate, so his degree was half politics, and some economics classes. Very light compared to an Engineering degree. Unajua watoto wa wadosi, especially watoto wa maraisi, they don't even study while at University, they are always partying. They don't have to work that hard to make it in life.

Uhuru hamfikii Raila kwa mambo Digital/ Engineering.
 
Elimu ya Raila inatia mashaka sana kama kwani mwaka 1962 Raila hakumaliza kusoma elimu ya sekondari katika shule ya Maranda High School. Mwaka 1965 alipata ufadhili kwenda kusoma chuo cha ufundi huko ilipokuwa Ujerumani Mashariki (Technical School Magdeburg) anadai alichukua degree hiyo na masters degree lakini inatia mashaka. Raila hakuwahi kufanya kazi Nairobi University bali alifanya kazi kama manager Kenya Bureau of standards mwaka 1978-1982. Ukisikia hotuba ya nyingi za Raila kwa vijana maarufu mzee wa vitendawili hakuna cha maana anachoongea sera zake kudanganya wananchi anawapeleka Canan ardhi ya matumaini kumbe shida yake ni kwenda kuwatumbukiza wakenya Mediterranean Sea. Mkuu Raila Odinga hafai kuwa Rais wa Kenya afadhali Mudavadi ama Kalonzo. Nchi nyingi za Magharibi hazitaki kabisa kuona Raila anakuwa Rais wa Kenya ndio maana zilimpongeza Uhuru Kenyattta kwa haraka katika uchaguzi uliopita pamoja na utata wake.
 
Hii si Chinook? Kuna raia anaruhusiwa kumiliki Helkopta ya kivita?

Jombaa kaa kwenye mada sasa unaanza kuleta utoto kwenye mambo ya kiutu uzima
Hiyo ni Eurocopter EC 145 siyo Chinook. Ama rangi ya kijeshi inakuchanganya
 
Wakenya wanapiga kura mwezi ujao kumchagua Rais wa nchi hiyo. Ni kitendo cha aibu kwa kiongozi huyo anayejiita kinara wa upinzani na demokrasia kushindwa kutoa pole ama tamko lolote linalohusiana na kupigwa risasi kwa mwanasiasa maarufu kutoka chama cha upinzani Tanzania Mheshimwa Tundu Lissu. Raila Odinga ameshindwaje hata kwenda hospitali kumjulia hali mwanasiasa huyo.
Raila ni mtu mwenye uchu wa madaraka na chuki za kisiasa. Natoa shukrani Uhuru Kenyatta kwa jinsi alivyotoa ulinzi kwa kipenzi cha watanzania Tundu Lissu
Wewe Kumwona Lissu ndio urais
Wewe hujui kaa kimya

Tatizo ni uelewa unadhani wewe ulivyo shabiki wa lisu kila mtu anawaza lisu kalaganbaho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom