Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Wakenya wanapiga kura mwezi ujao kumchagua Rais wa nchi hiyo.
Ni kitendo cha aibu kwa kiongozi huyo anayejiita kinara wa upinzani na demokrasia kushindwa kutoa pole ama tamko lolote linalohusiana na kupigwa risasi kwa mwanasiasa maarufu kutoka chama cha upinzani Tanzania Mheshimwa Tundu Lissu.
Raila Odinga ameshindwaje hata kwenda hospitali kumjulia hali mwanasiasa huyo. Raila ni mtu mwenye uchu wa madaraka na chuki za kisiasa.
Natoa shukrani Uhuru Kenyatta kwa jinsi alivyotoa ulinzi kwa kipenzi cha watanzania Tundu Lissu