Hebu fikiria, Mbowe walishatoa tamko ya kuwa wanampa support Uhuru kisa na maana Raila alim-support Magufuli. Halafu isitoshe, Lowasa kaja kwetu kisha kampigia debe Uhuru kwa Wamaasai ya kuwa wampigie Uhuru kura halafu leo hii unasemaje?????????? Ya kwamba Raila aende kumwona Mbowe ambaye yupo na Tundu wataanzaje??????? Anyway, I think Raila is above that and let's pray that maybe he will visit Tundu. Pole sana Tundu.
You are missing the point, siasa sio uadui, mtu kuwa upande wa pili wa siasa haina maana umchukie au umfanyie mambo mabaya. Vyovyote iwavyo yeye ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine bila kujali itikadi au chama anachokishabikia. Kwenda kumjulia hali ni ustaarabu na pia ni suala la kibinadamu zaidi na sio kisiasa. Tusiyafanye maisha yawe kila kitu siasa.