Fidelis08
Senior Member
- May 18, 2017
- 160
- 69
Hajazidiwa nguvu na mahakama bali amezidiwa nguvu na Raila hakuna cha demokrasia apo,demokrasia ya kuiba kuratayari umoja wa afrika mashariki una marais wasiopingwa wala kukosolewa wala kushauriwa. Tayari wana marais wanaokandamiza demokrasia kilichobaki ni kenya tu. sasa ole wenu wakenya mkampa Raila nchi mtajuta kuliko Uganda kuliko Sisi kuliko tz kuliko burundi yaan ole wenu Kama maendeleo mnayo na kama Rais mnaye. hiv ni nchi gani africa rais anazidiwa nguvu na mahakama aliyoiteua???
KWA SASA KENYA NI KIOO CHA DUNIA MKIMTOA UHURU MTAKUWA PAZIA TU LINALOKINGA MACHO ILA HAKUNA KINGA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app